donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,257
- 22,131
mbona gari hiyo amekuwanayo muda mwingi?
Mwanamuziki Koffi Olomide a.k.a Mopao Mokonzi mzee wa Abracadabra ameonesha jeuri ya mpunga baada ya kuvuta ndinga matata aina ya Rolls Royce.
Sent from my Citycall i930+ using Tapatalk 2
Wewe unasema ya zamani jipya unalijua au unajisemea tuu sababu wadau wa Congo wamekwambia?Mkuu mbona hzi news za zamani kidogo? Na wadau wa Congo wanadai sio RR original ni ya kusukwa kie kie kir
Mkuu mbona hzi news za zamani kidogo? Na wadau wa Congo wanadai sio RR original ni ya kusukwa kie kie kir
Anazeeka vibaya huyu jamaa yetu. Muda wa kusaidia sasa na si kutesa ili uvutie wateja.
Hamuoni Mzee wa TP Mazembe, Moise Katumbi anavyojenga Mji wake wa Katanga?
Aone aibu huyu jamaa na muda wa kufanya la maana umefika na siyo MAGARI tu.
Hapo juu anaongea kwa Kiswahili/Kifaransa na chini anaongea na CNN kwa Kiingereza.
African Voices (CNN) : Moïse Katumbi - YouTube
Aisee huyu jamaa ni intelligent sana na ana vision. He is far better than JK. Jamaa anaongea na kuchambua mambo mpaka unabaki kumu-admire.
aiseeee babayangu ile nyimbo yake mpya inaitwaje naipenda sana
Wewe unasema ya zamani jipya unalijua au unajisemea tuu sababu wadau wa Congo wamekwambia?