watanzania wanapenda matukio... hata aje mkitikila watajikusana tu.... tusubiri kipindi cha uchaguzi tujue mbivu nambichi
Mkuu, mimi nakushauri tu, hupendezi kushabikia CCM, hao CCM wameshaonyesha wazi kuwa hawana uchungu na nchi yetu,Safi sana nimefurahi kuwaona wanambea tena ni watu wenye afya vijana na wanaonekana wasomi safi sana tunataka matukio ya ukweli kama haya tupambane kwa hoja na sio vioja, viva ccm.
Upo sawa kabisa,Watanzania kwa kuwa wengi hawana kazi hivyo hawakosi kujaa kwenye matukio.Uwingi wa watu sio ishara ya kukubalika.Hii sio kwa CCM tu bali kwa Chadema pia.
Ila naamini wananchi wa Mbeya hawatarudia kosa la kuweka mbunge wa level Sugu,naamini ata Mbeya ina watu makini wa kuweza kuwa Wabunge Makini.
Nilikuwepo kwenye huu mkutano akina nape kama wana akili nadhani wamegundua ugumu wa mbeya kwa upande wa ccm, make hata watu kuitikia ccm hoyee! wanaona aibu, kuna tofauti kubwa kati ya shamra za mikutano ya chadema na hii ya ccm, mwenye akili hahitaji maneno mengi waka kushawishiana nadhani kila kitu kilikuwa wazi