Huko ndo mnatamani tuelekee?? Waambie hao wanao ng'ang'ania Ikulu waiachie kwa amani. Huo ndio uungwana. Hiyo ndo sababu kura zikaweko sio kuwatishia watu na picha za machafuko. Mnapoonesha picha ka hizi ni kuwashupaza shingo wananchi kuwa kama huko yapo na watu hawamaliziki basi wao wajiweke sawa tu kisikolojia.
Natamani tukubali ridhaa ya wananchi ikitokea kwa ukweli na uwazi. Kumbuka, huyo mtoto aweza kuwa mjukuu wa Asaad.