PakiJinja
JF-Expert Member
- Jan 16, 2012
- 11,710
- 26,010
Naona unapiga vifuti na vipepsi kabisa, unamuweka sawa ili umkate ngwala
Naona unapiga vifuti na vipepsi kabisa, unamuweka sawa ili umkate ngwala
Naona Kulwa Jilala ame like comment yakoNyumbu hana mvuto!
Musiba Voice!
Wewe habari zako za Chadema hazinaga hata picha vipi unapigiwaga simu auwewe ni mjinga sana ! na unaitia aibu hata hiyo ccm , wewe ndio wanasema ni DC , kama ni kweli basi UDC itakuwa kazi ya kibwege sana !
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Unapiga picha saa sita ili uje kudanganya watu.Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
Wewe ndio huelewi wanachopigania.Shida kubwa chadema kwa sasa haieleweki wanapigania nini
Yule Mrema hamna kitu kabisa.... Tokea kampeni yaani hakuna updates mpaka mkutano uishe!!Ngoja nijikoki....niwe natoa Live update mwenyewe,naona Kurugenzi ya habari CHADEMA imefubaa siku za karibuni....Ila hakuna wa kuisimamisha CHADEMA mpaka. sasa...Chama pekee chenye uwezo wa kuitisha Mkutano wa hadhara asubuhi alfajiri na Watu wakatii na kuacha shughuli zao.
Na wewe na huyo jamaa yako unayemwabudu unataka kila mtu amwabudu.Huwezi kumtukana Magufuli Kigoma alafu ukabaki salama
Kweli kabisa. Mrema amezidiwa Sana.Yule Mrema hamna kitu kabisa.... Tokea kampeni yaani hakuna updates mpaka mkutano uishe!!
Hiyo kurugenzi ilikua active enzi zile za Kafulila na Mnyika baadae!! Tokea hapo imelala sana.
Mrema is a liability
Shida kubwa chadema kwa sasa haieleweki wanapigania nini
Majizi makubwa haya!! Hapo hawana dola lakini wanakwapua na wameshindwa kujenga OfisiPesa ya ruzuku sio mchezo
Watu wamejenga minyumba yao kwao kama ikulu walahi
Wengine mrie tu!
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Chezea mchaga!
Shkamoo Pesa!
hizo picha hazina uhalisia ni za zamani.hapo ni kwa bela na huo si mkutano wa jana ni uongo,ubezwe.Ukweli utafichwa lakini mwisho wa siku utakua wazi, Kuna sehemu kubwa chadema imewakosea wananchi. Kinachoendelea Kigoma ni aibu kubwa, watu wamesusa kuhudhuria mkutano
View attachment 2625362View attachment 2625363
huu ndo uhalisia huyo countrywide anapotosha umma.
Pili pili usiyoila yakuwashia nn jamaangu? Au ndo uwanaume wa lumumba huo???Nilijua watu watakua wachache Ila sio kwa uchache huu