Picha, Kikwete - Pope Benedict nani mkali wa draft?

kakutana na mkuu wa makafir..wallah lazima tuandamane
Hata uyachukie lakini maji utayaoga tu, you can't do without them. Take it from me!!!! Utawachukia saaaaaaaaaana but at the end of the day, you'll find yourself loving them. Smart strategists never fight losing battles!!!!
 
Hivi nyie vijana mna matatizo gani? Hamuwezi hata kumuelewa jamaa kwa andiko lake?
waambie mkuu maana mapovu yanawatoka halafu wanajiita great thinkers when they can't even read betwwen the lines
 
Jamani kwani ukafir ninini? Ninavyojua mimi ukafir ni hali ambayo mtu haamini dini nyingine zaidi ya ile aliyonayo. Muislam ataiwa kafir kwa wakristo na mkristo ataitwa kafir kwa muislam na mpagani atawaita mkristo na muislam makafir, kwakuwa hawaamini upagani. kama maana halisi sio hiyo naomba ufafanuzi.
 

sawa kwa nn aanzishe mada ya kukashifu namna hii hii inaleta uchochezi!!!!au mnataka watu wapigwe ban????
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…