Picha: Kikosi cha Yanga mwaka 1994

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Mar 8, 2020
2,208
4,705
Ni Kikosi Bora kabisa Afrika Mashariki na hiyo ilikuwa 1984

FB_IMG_16197622622637684.jpg
 
Kwangu mimi hiki ni kikosi bora kutokea kwa kizazi chetu hiki... Nasikia kocha mpya wa Yanga kasema mule kuna wachezaji 3 tu, wengine wakafanye kazi nyingine - hao wanamuziki pia warudi kwao wakaendelee na bendi zao.

 
Back
Top Bottom