PICHA: Katibu wa BAKWATA mkoa wa Arusha aliyejeruhiwa kwa BOMU

Ansar sunna or siasa kali ndio waliofanya hayo wameshateka misikiti almost yote ya arusha na kulazimisha waumini wafuate wanacho taka misikiti ya ibada inakua ya kujaza waumini chuki na kukashifu serekali na dini nyingine hawa jamaa sumu yao inaeea kw a kasi sana ni time bomb na shangaa serikali kuwafumbia macho.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…