Picha: Kampeni za "ukawa " si mchezo


Mkuu kumbe ulishakuwa kamanda eeh???

Safi sana kwa kujitambua.
 
Amevua gamba au nyinyi pia mmeungana nae kuvaa gamba?saizi yale magamba yaliyokuwepo CCM chama chao ni chadema,yamekinunua kwa pesa.

Ukitoka ccm unaacha magamba uko, hats wewe unaruhusiwa kuvua gamba ukija uku tunakuvalisha gwanda.
 

Na wewe upo UKAWA??? Au nimekosea kusoma!!?
 

Chuki yangu kwenye id ya musallan imepungua sana!!
 
CCM Mwaka huu ushindi lazima tutashinda ata kwa bao la kidole
 
Wangemtembeza kwa miguu ili watanzania wamwone hivi nani hamjui MAGUFULI Aliyeuza NYUMBA ZA SERIKALI?
 

Kama sio wewe vile!
 
jana nimeona kipindi ITV wananchi waliowahi kusoma ama kufanya kazi na Magufuli walikua wakihojiwa Kiswahili kasha Sam Mahela anawasisitiza waongeee kisukuma -kulikuwa na mkakati wa kikabila zaidi
 

Umebadilika sana kiongozi, kweli wakati wa mabadiliko ukifika hakuna wa kuweza kupingana nao. Sasa mkuu inabidi ubadili na avatar yako, au unawakilisha kundi la wana CCM wanaomkubali na kumfuata mgombea wa UKAWA japo wapo CCM?
 
Hahaha watu wameichoka CCM kwakweli.
 

Mussa Allan ni wewe kweli au kuna mtu amevamia account yako?!!!!!!!!
 

mkuu hawata hamini kipogo watakachokipata mwaka uhu, ndio?watajua moto wa lowassa sio wakuchezea chezea,
 
Maneno yako hayaakisi hali halisi huko site waliko wapiga kura kaka,this is the reality...na hiyo ni ilala tu bado vijijini






Mbona Ni Kijani Tu; Ukipona Hivyo CCM Hawana Support toka Kwa Wapiga Kura wasio na Kadi za CCM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…