Picha: Kampeni za "ukawa " si mchezo

Mwaka huu watakufa kwa Presha, Naona magufuli anaandaliwa mpaka vipindi maalumu ITV vya kuonyesha historia yake lakini wapi! LOWASSA ndio habari kuu TANZANIA kwa sasa, huwezi kukatiza mtaa bila kusikia jina LOWASSA likitajwa! Watu wamejiapiza kuwa wasipompigia kura Lowassa basi mabaya yawakute! LOWASSA, ULIPO, NA SISI TUPO!
 

Hakika Shetani akizeeka hubadilika an kuwa Malaika... Pamoja sana kamanda MSALAN. Lowasa ndiyo santuri ya mjini
 
Ata mimi bado nashangaa ata bwana MUSSAAllan amevua gamba !!!

Amevua gamba au nyinyi pia mmeungana nae kuvaa gamba?saizi yale magamba yaliyokuwepo CCM chama chao ni chadema,yamekinunua kwa pesa.
 
Last edited by a moderator:
CCM yajenga nchi
 

Attachments

  • 1438800445918.jpg
    24.5 KB · Views: 2,068

Msalani???
 
Amevua gamba au nyinyi pia mmeungana nae kuvaa gamba?saizi yale magamba yaliyokuwepo CCM chama chao ni chadema,yamekinunua kwa pesa.

Hivi wewe ni gamba ??miaka michache ijayo itakuwa aibu sana kujiita wewe ni mwanachama wa Ccm.Time will tell
 


Maneno yako hayaakisi hali halisi huko site waliko wapiga kura kaka,this is the reality...na hiyo ni ilala tu bado vijijini





 
Hamna lolote...washapewa mgao hao wamekuja kuwakilisha tu.Oktoba wanawachinja kama ------..
 

Za maoni vipi mkuu. . . . .. ???!!
 
Kim KADA SHAN unadanganyika kirahisi hao watu usombwa na maroli ndio hila za MaCCM!!
 
Last edited by a moderator:
Tumejipanga mwaka huu wataisoma na magamba yaoooooooo were. Tumejipanga mwaka huuuuuuu....
Maneno yako hayaakisi hali halisi huko site waliko wapiga kura kaka,this is the reality...na hiyo ni ilala tu bado vijijini





 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…