Piga tena mkuuHiyo namba nikipiga wananiambia noti richabo
Piga tena mkuu
Mbona wacheka
Atakuwa anatoka nchi yenye kijani kitupu
Haki ya Mungu ndo umenifanya nikenue meno baada ya miaka 50 ya kuzaliwa.we ni zaidi ya Mr Bean.Hayo matangazo ya hivyo yana wateja wake,tena ukiandika vingine hawaji wanajua Bei itakuwa mbaya tu.