PICHA: JUST PICHA: Kampeni Kalenga, Grace Tendega CHADEMA

Inatia moyo kila la kheri makamanda.
 
na siku ya kura waonekane....tumechoka same old story..the total poll cast 5% of registered voters...
 
Watapata shida sana na huyu mama siasa siyo kuwa na tumbo na tumbo kubwa.
 
Huyu mama lazima arudie njia panda tena mchana kweupe kabisa wala halina ubishi hili.
 
Watapata shida sana na huyu mama siasa siyo kuwa na tumbo na tumbo kubwa.
Tehetehetehe, mkuu, hakika chadema wamepotea. Halafu nashangaa kuona Dr Slaa ameweka kambi kule tofauti na ilivyokuwa kalenga
 
camera unayotumia nimeipenda rangi safiiii
 
Huyu mama lazima arudie njia panda tena mchana kweupe kabisa wala halina ubishi hili.

Kuna mazingira utakuwa umejisahau, nakumbuka umesema wewe umechaguliwa kwenye bunge la katiba. Mbona muda huu uko kwenye ushabiki wa kisiasa na kuacha jambo muhimu la katiba!?
 
Tehetehetehe, mkuu, hakika chadema wamepotea. Halafu nashangaa kuona Dr Slaa ameweka kambi kule tofauti na ilivyokuwa kalenga

Umekurupuka .........ulikuwa umelala au ulikuwa unafanya nini?
 
Tehetehetehe, mkuu, hakika chadema wamepotea. Halafu nashangaa kuona Dr Slaa ameweka kambi kule tofauti na ilivyokuwa kalenga
Kabisa kabisa mkuu chadema huu mziki siyo wao kabisa watahesabu lakini hesabu hazitatimia.
 
Halafu matokeo yakitoka wanasema wameibiwa kura AU sababu nyingine mpya siku hizi wanasema DAFTARI HALIJABORESHWA!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…