PICHA; JK in Addis Ababa!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA; JK in Addis Ababa!!

Discussion in 'Jamii Photos' started by Kiganyi, May 11, 2012.

 1. Kiganyi

  Kiganyi JF-Expert Member

  #1
  May 11, 2012
  Joined: Apr 30, 2012
  Messages: 1,244
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika mdahalo wakati wa Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika, akiwa na viongozi wengine wa nchi mbalimbali waliohudhuria

  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais wa Nigeria Mh Goodluck Jonathan baada ya kuhudhuria dhifa ya kitaifa waliyoandaliwa na mwenyeji wao Waziri Mkuu wa Ethiopia Mh Meles Zenawi jijini Addis Ababa Alhamisi usiku. Kulia kwa Rais Kikwete ni Waziri wa Fedha wa Nigeria Bi.Ngozi Okonjo-Iweala ikiwa ni kielele cha Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika
  [​IMG]
  Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika mazungumzo na Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mstaafu Bw Koffi Annan walipokutana katika hoteli ya Sheraton jijini Addis Ababa ambako wote walihudhuria Kongamano la Kimataifa la Uchumi kwa Afrika  Picha na IKULU
   
 2. Adoe

  Adoe JF-Expert Member

  #2
  May 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 202
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Asante kwa taarifa mkuu.
   
 3. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #3
  May 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Tunae rais!!. Ktk
  mkutano huu
  marais walikuwa
  wachache sana
  sidhani kama alista
  hili kwenda kwa jinsi
  hali ya nchi yetu
  ilivyo. Si angemtu
  ma tu pinda au makam wa raisi?
   
 4. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #4
  May 11, 2012
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  kila safari yeye hata kama si muhimu kwa taifa ni bora awe anawapa na wasaidizi wake.
   
 5. Wingu

  Wingu JF-Expert Member

  #5
  May 11, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,326
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Kwa safari hii sina shida nayo ila kunazingine hastahili kwa kweli
   
 6. King2

  King2 JF-Expert Member

  #6
  May 11, 2012
  Joined: Nov 16, 2011
  Messages: 1,289
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Safari! Safari! Huyu kweli ni Rais au muuza sura.
   
Loading...