Duh simu zake mwenyewe za Shs.40000/- HAMNA KITU HAPO...
Bongo Online trade ni utapeli tuu,dawa ni cash dukani kwa muhindi
Ujinga hauna mwenyewe kiongozi. Tena watu kama wewe mnaojifanya hamtapeliwi utakuja kunasa sehemu mbovu mpaka mwenyewe ushangae. Wanatapeliwa makamanda wa polisi, mawaziri hadi nchi ije kuwa wewe?!Wengine mnaibiwa kwa uzembe wenu tu...hivi kweli mimi mtu anaweza kuniibia kijingajinga namna hii!