Picha: Israel yaanza kulipua makanisa Lebanon

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,189
Reaction score
24,613
"HABARI ZA DHARURA:
ISRAEL imeshambulia Kanisa jingine la Kikristo nchini Lebanon na kuua wakristo wanne ikiwemo mchungaji waliokua kanisani hapo

Yani hadi sasa washalipua makanisa mengi huko Lebanon kila kanisa au msikiti ni target yao!!

Kule Gaza pia walibomoa kanisa la kale zaidi[emoji1314][emoji1134][emoji3520] Israel just bombed the Orthodox Christian Church of Saint Porphyrius in Gaza which was serving as a refuge for 500+ displaced people.

It is over a thousand years old.

Bodies are currently being pulled out of the destruction.

Israel ran out of churches to bomb in Gaza so now they are bombing churches in Lebanon. This is Saint Georges church in Yaroun, South Lebanon. Pro- Zionists won’t say a word.

Hapa wafia Israel watapita kama hawaoni

Ikumbukwe Israel waislam ni asilimia 18.1% huku wakristo wakiwa ni asilimia 1 tu na wakiwa chini ya sheria ikiwemo ile ya kifungo jela ukikutwa unahubiri ukristo au habari za Yesu huku wakiwa na kampeni ya kuangamiza ukristo kwa kufungia makanisa

20241011_164944.jpeg
 
View attachment 3121893
Yaani mkijificha popote hata karibu na mlango wa mbinguni mtapigwa tu magaidi nyie🤣
 
Nani kakudanganya makanisani wahuni na magaidi hawajifichi?

Kanisa sio kinga, inteligensia ikisema umo humo linashushwa, upo chooni kinashushwa, upo kifuani kwa mkeo mnashushwa.
 
"HABARI ZA DHARURA:
ISRAEL imeshambulia Kanisa jingine la Kikristo nchini Lebanon na kuua wakristo wanne ikiwemo mchungaji waliokua kanisani hapo

Yani hadi sasa washalipua makanisa mengi huko Lebanon kila kanisa au msikiti ni target yao!!

Kule Gaza pia walibomoa kanisa la kale zaidi[emoji1314][emoji1134][emoji3520] Israel just bombed the Orthodox Christian Church of Saint Porphyrius in Gaza which was serving as a refuge for 500+ displaced people.

It is over a thousand years old.

Bodies are currently being pulled out of the destruction.

Israel ran out of churches to bomb in Gaza so now they are bombing churches in Lebanon. This is Saint Georges church in Yaroun, South Lebanon. Pro- Zionists won’t say a word.

Hapa wafia Israel watapita kama hawaoni

Ikumbukwe Israel waislam ni asilimia 18.1% huku wakristo wakiwa ni asilimia 1 tu na wakiwa chini ya sheria ikiwemo ile ya kifungo jela ukikutwa unahubiri ukristo au habari za Yesu huku wakiwa na kampeni ya kuangamiza ukristo kwa kufungia makanisa

View attachment 3121893
Magaidi wa hezbollah wameona wakijificha kanisani ndio israel itaogopa kulipua nahisi pengine ni hezbollah wanalipua hayo makanisa ili wakristo wawachukie israel
 
"HABARI ZA DHARURA:
ISRAEL imeshambulia Kanisa jingine la Kikristo nchini Lebanon na kuua wakristo wanne ikiwemo mchungaji waliokua kanisani hapo

Yani hadi sasa washalipua makanisa mengi huko Lebanon kila kanisa au msikiti ni target yao!!

Kule Gaza pia walibomoa kanisa la kale zaidi[emoji1314][emoji1134][emoji3520] Israel just bombed the Orthodox Christian Church of Saint Porphyrius in Gaza which was serving as a refuge for 500+ displaced people.

It is over a thousand years old.

Bodies are currently being pulled out of the destruction.

Israel ran out of churches to bomb in Gaza so now they are bombing churches in Lebanon. This is Saint Georges church in Yaroun, South Lebanon. Pro- Zionists won’t say a word.

Hapa wafia Israel watapita kama hawaoni

Ikumbukwe Israel waislam ni asilimia 18.1% huku wakristo wakiwa ni asilimia 1 tu na wakiwa chini ya sheria ikiwemo ile ya kifungo jela ukikutwa unahubiri ukristo au habari za Yesu huku wakiwa na kampeni ya kuangamiza ukristo kwa kufungia makanisa

View attachment 3121893
usijali mkuu, yatajengwa mengine. Hata waarabu walipokiwa wanajipenyeza Lebanon hawakuishia kulipua Makanisa tu nali waliua Wakristi.
Pale Uturuki Rais wao kaenda kupora Jenga la Kanisa akawapa waislam walifanye Msikiti, si afadhali ya Israel yeye amelipua sababu magaidi wamejificha humo kuliko Uturuki aliyelinyang'anya sababu ya Udini?
 
Vita ya tembo, zenye kuumia ni nyasi...
 
"HABARI ZA DHARURA:
ISRAEL imeshambulia Kanisa jingine la Kikristo nchini Lebanon na kuua wakristo wanne ikiwemo mchungaji waliokua kanisani hapo

Yani hadi sasa washalipua makanisa mengi huko Lebanon kila kanisa au msikiti ni target yao!!

Kule Gaza pia walibomoa kanisa la kale zaidi[emoji1314][emoji1134][emoji3520] Israel just bombed the Orthodox Christian Church of Saint Porphyrius in Gaza which was serving as a refuge for 500+ displaced people.

It is over a thousand years old.

Bodies are currently being pulled out of the destruction.

Israel ran out of churches to bomb in Gaza so now they are bombing churches in Lebanon. This is Saint Georges church in Yaroun, South Lebanon. Pro- Zionists won’t say a word.

Hapa wafia Israel watapita kama hawaoni

Ikumbukwe Israel waislam ni asilimia 18.1% huku wakristo wakiwa ni asilimia 1 tu na wakiwa chini ya sheria ikiwemo ile ya kifungo jela ukikutwa unahubiri ukristo au habari za Yesu huku wakiwa na kampeni ya kuangamiza ukristo kwa kufungia makanisa

View attachment 3121893
Wamesema kila sehemu inayotunza silaha za magaidi inakipata cha moto bila kujali ni nyumba ya mtu au ya umma.
 
Eti unakazia kanisa la kikristo , kwani kuna kanisa la waislamu au kanisa la wapagan
 
Back
Top Bottom