Picha inaongea

Dogo (anawaza na kujisemea kichwani mwake): Yaani sisi tumekuleza shida zetu, wewe unachati na kubugia pilau? Acha dharau kaka. Hata mimi nitakuwa kama wewe nikipambana.

Mama (kichwani ndani kwa ndani): Mjini kuna mambo sana hapa. Kweli tumejianika na mwanangu...

Jamaa anachati huku akipata mapochopocho
 
Ameona kuliko awape chakula ambacho amekula ni bora amtumie hela ktk mpesa akanunue ,au yawezekana ni mke wake waliotengana mke kamvizia kamkuta hapo anakula mke anamwambia ina maana simu zangu kwa nini hupokei hapo jamaa anajifanya ndiyo anaangalia kama kuna missed calls
 
Jamaa amefatwa na omba omba....sasa anazuga kama hasikii wala haelewi kwa kujifanya anachati.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…