Picha inaongea

Asee
Sikibali mme mtukana ras wangu Trump.


Hivi magu akiwekewa vipicha kama hivoi hatanyonga mtu kweli??
 
Reactions: ydn
Angekua wetu tungesikia somebody was arrested
 
ni kweli kabisa Donald is the most idiot man the world have ever seen
 
ni kweli kabisa Donald is the most idiot man the world have ever seen
Et idiot!! yaani wewe roho yako na Bashite ni sawa. huyo jamaa muache kama alivyo yeye sio kama kiumbe yuleee.
 
kwahiyo wewe mpaka umeenda kutafuta hizo picha ulijua picha aliyoweka mleta thread ni ya ukweli!? watu wengine bhana ubashite unawaandama kweli yaani...
 
Hata mimi nilipoiona hiyo picha ya mara ya kwanza nilijua ni Editing tu imefanyika.

Lakini najiuliza mtu unapata Faida gani kuanza kumchafua mwenzako?. tena mitandao?. Sheria ikichukua mkondo wake utasema amekuonea?.

Hata huyu anaesambaza hiyo picha ninawasiwasi na akili yake.
 
Kumzidi Baba yako?
Bahati mbaya my father passed away.... You are reminding me in a bitter way and i think i have to find a better way to harras you nut cracker!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…