Hapana hajampa ps wake maana angevujisha taarifa,amejiandikia na kufunga bahasha mwenyewe ili msitajwe mkakimbia!Hivi RC hana Personal secretary? mbona taarifa zake na majina na hilo faili zimekaa hovyo hovyo kama faili la Mwenyekiti wa VICCOBA!
Au amemrithi Personal Secretary wa Marehem Ditopile?
Kwamba washeli haina kutu..Et yule jamaa ni mtoto.....in Sugu's Voice
Jamaa anajua kabisa File lipo empty, sasa Dogo yupo serious utadhan ni kweli ndo maana jamaa anacheka.View attachment 470260
Hapa wanakabidhiana majina
Vita imeishaView attachment 470260
Hapa wanakabidhiana majina
Majangili Dar wanajangilia vitu gani pale?Haya yote yamesababishwa na Mama Ndalichako na matokeo take ya form four. Navyomjua makonda atakuja na kupambana na majangili ndan ya mkoa wake was dar
One man work.Hivi RC hana Personal secretary? mbona taarifa zake na majina na hilo faili zimekaa hovyo hovyo kama faili la Mwenyekiti wa VICCOBA!
Au amemrithi Personal Secretary wa Marehem Ditopile?
Du umeniacha hoi ni kweli kwa majjitu yanayopenda sifa hayakawii kukabidhi file tupu. Sasa Makonda arudi kwenye hoja ya matokeo ya Form Four kazi ya madawa ya kulevya sio yake.Jamaa anajua kabisa File lipo empty, sasa Dogo yupo serious utadhan ni kweli ndo maana jamaa anacheka.
View attachment 470260
Hapa wanakabidhiana majina
labda ukubwa wa mwili.eti majina ya wauzaji wa madawa ya kulevya makubwa kwa hiyo ile list ya akina mbowe na Manji wao ni wadogo au ndio anamanisha nini??
Nadhani angendika mtu makini ingesomeka, Majina 97 ya wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya.View attachment 470336
MAJINA YA WAUZAJI MADAWA YA KULEVYA WAKUBWA.
---------
Hivi ni nani huwa anaandika hizi list za MAKONDA? Huyu aliyeandika hapo juu ya hilo faili alifika la saba kweli?
Kama ni Makonda mwenyewe basi inatakiwa arudi shuleni.
Sawa sawa..!Nadhani angendika mtu makini ingesomeka, Majina 97 ya wauzaji wakubwa wa madawa ya kulevya.
Sikuwa namfahamu vizuri huyu bwana/kijana lakini baada ya kufuatilia mambo yake nimegundua kuwa naye anatamani sana kuwa kwenye kundi moja na watu kama ZZK, JJM, Sugu, Silinde nk ambao wanaangukia kwenye kundi la viongozi vijana! Ni ngumu kuwafikia hao maana upstairs wako vizuri sana.Hivi RC hana Personal secretary? mbona taarifa zake na majina na hilo faili zimekaa hovyo hovyo kama faili la Mwenyekiti wa VICCOBA!
Au amemrithi Personal Secretary wa Marehem Ditopile?