Picha iliyonivutia leo ni hii hapa

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,293
33,078
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na mkewe Mama Salma Kikwete wakiwa katika mazungumzo na Mama Maria Nyerere Nyumbani kwake Butiama wakati wa kilele cha kumbukumbu ya miaka kumi tangu kufariki kwa Baba wa Taifa Mwalimu Julius Nyerere. ( Picha: Freddy Maro). Picha zaidi na habari, tembelea: mjengwa
 
walikuwa wana cheki big braza nini? manake rais naona ndo mfuatiliaji mzuri hapo
 
Upuuzi mtupu, badala ya kwenda naye kule Nyerere foundation wakafanye kazi ya kuendeleza mambo na kuanzisha Library ya Taifa la kesho wanamkaribisha kuangalia TV, hata glasi ya maji ya kunywa hakuna hapo! Lo!
 
Back
Top Bottom