Picha hizi hatuwatendei haki Polisi

Haya asante mkuu kuna nyingine ninayo hapa picha mupyaaaa ya jana tu JWTZ kauchapa kweli kweli nielekeze namna ya ku-upload nitupie naye huyu kiote nyasi, ila ni jamaa yangu maskini sema anaboa mambo yake ya kikuda

hahahahahaaa wee jamaaabumenichekesha sana kiukwelii usifanye ivo kitaota kwelii watu tupo makin sana
 
Tutatunga sheria kali, tutaweka usimamizi mkali, tutakuwa wakali. Mbwembwe zote ni kwa watu masikini tu. Tz raha tupu.
 
aisifiaye mvua imemnyea...wadharirishwe tuu (in mizengo voice)
 

nmekuelewa sana mkuu..... Nafkiri hujanisoma vizr pale mwanzo nilivyoanza na hii thread.

Kitendo walichokifanya sio cha kimaadili ili kudhibit hii hali yafuatayo yangefanyika:
.. Adhabu kali ingetolewa kwa wahusika kuna adhabu nyingi sana za kijeshi.
.. Hapakuwa na ulazima saana wa kuwarusha kwenye mtandao badala yake huyu raia aliyewapiga picha angewashtua tu na kuwaonya.
.kitendo cha kuwafukuza hyo ni adhabu kubwa sana hailingani na kosa.

Tatizo letu tunayakomalia mambo ambayo hayana madhara kwa taifa ila yeynye madhara tunayapuzia.

Suala la mapenz huo ni udhaifu ambao hutokea kwa kila mtu kama ambavyo yaliwatokea akina Mzee wa mstuni komba, Machemli, Kapuya na wengneo.

Kuna makosa mengi ambayo tunatakiwa kuyakazia kama biashara za madawa ya kulevya, ujambazi, ubambikiaji kesi n.k
 

Huyu siyo mwenye account washaihack wajinga kama walivyofanya account yangu ya fb
 

mkuu tutambue kuwa kazi ya uaskari ni kazi ambayo inaenda kwa amri kutoka juu na hyo amri hupokewa na askari wa chini ambaye ndio mtendaji na haitakiwi kujadiliwa. Ukijadili amri ya mkuu wako tayar umekiuka maadili ya kazi.

Nirudi kwenye pointi yako:
kitendo cha askari mdogo kumg'ang'ania mtuhumiwa hyo inakuwa ni amri kutoka juu, yule askari mdogo yeye ni ndio afande tu.

Tukubali tu kuwa askari wetu wametolewa kafara na wanaangamia kwa makosa yasiyo wahusu
 

Mr bantullile umeongea points tupu
 

acha bangi hujaliona jukwaa labiashara na uchumi?
 

the world is unfair,Ni wakati sass WA kuamka
 

wachina wanasema unachuna ngozi kiroboto
 
Last edited by a moderator:
Let freedom of speech reign.

Mleta mada unadhalilisha the noble provisions for freedom of speech.
 

hakuna mjinga wa kumtapeli humu..peleka facebook huu ushuzi wako
 

Ndio polisi wetu hao hao anaowatetea mtoa mada!
 

Attachments

  • 1413144438142.jpg
    50.4 KB · Views: 248

Umehack akaunti za watu kule facebook na huu uzushi wako umeona hujafanikiwa ukaamua kuhamia JF. Ila kumbuka huku ni kwa great thinkers sidhani kama utapata mtu wa kumtapeli..
Note:wakuu kaeni chonjo na matangazo ya hivi
 
Mungu awasaidie binadamu hawa, siku hizi naona trafik hawana amani kabisa. Pigeni kazi bila woga, andameni mkinyanyaswa
 
mleta mada anachojaribu kusema ana manisha kiongozi na mtu wa chini wakifanya makosa wote waadabishwe sawa... kunguni wa ulaya
 
Last edited by a moderator:
Waliozirusha hzi picha picha kwenye social networks ni hao askari wenyewe, sasa sisi kama wananchi tuache kuangalia kitu tulicholetewa? yaani mwananmke yupo uchi halafu nisiangalie maeneo muhimu? haiwezekani,
 
mleta mada anachojaribu kusema ana manisha kiongozi na mtu wa chini wakifanya makosa wote waadabishwe sawa... kunguni wa ulaya
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…