Picha hiii imenishangaza


Mmmmhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh ????????????????????????????????????????
 
hivi Mkapa hakuwahi kupata shahada ya heshima? mbona haitwi dr?
 
We waukweli, waitoe gazetin híi iko poa. Ndo maana noti mpya wamechakachua kumbe wamesomea.
 
Waache watunukiana PHD zao feki,hazina heshima hata kidogo!!
 
Hii ndo picha vijana wa Ikulu wanatafuta...watu kadhaa wameishatiwa nguvuni kwa kusambaza picha za kuumbwa na kumkashifu rais.....Tahadhali
 
Hapana hii kali,kama mtu anaweza kutengeneza picha kama hizo, akimtaka mtu wako si anaweza kuunganisha picha kama hizo na kwenda kumuonyesha na mtu akaamini na kuvunja mahusiano yenu?
 
dah!! :A S 13::A S 13::A S 13: dunia ina mambo!
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…