Kwa upande wangu inanikumbusha nilivyotaka kufukuzwa shule enzi hizo maana nilikutwa na mwalimu wa nidhamu nimevaa sarawiri na hicho kiatu ambacho nilikinunua BATA. Kisa ....

Ila wasichana walituchezea sana enzi hizo. Si kama siku hizi ambapo K zinagawa kama njugu. Enzi hizo Uchagani unaulizwa kama unampenda kimwili au kiroho....
Wachana na hicho kifaa bhana!! Philips GF 907; super stereo na sorround system ni moja ya vifaa ambavyo nimeng'ang'ana navyo hadi wa leo kwenye archive yangu! hizo nyakati zilikuwa njema sana! watu hatuna pesa nyingi lakini tuko happy tunaenjoy life kwa sana tu.