kotelyimola
JF-Expert Member
- Oct 9, 2015
- 1,459
- 1,508
Kwa upande wangu inanikumbusha nilivyotaka kufukuzwa shule enzi hizo maana nilikutwa na mwalimu wa nidhamu nimevaa sarawiri na hicho kiatu ambacho nilikinunua BATA. Kisa ....
View attachment 299417
Ila wasichana walituchezea sana enzi hizo. Si kama siku hizi ambapo K zinagawa kama njugu. Enzi hizo Uchagani unaulizwa kama unampenda kimwili au kiroho....jamani enzi hizo! Memory Q, Raisoni ngazi 4, GF 148 turntable na shati za kubana Tight! Indeed those were the days
Na kutembea kwa kunesa hasa ngazi sita pamoja na Buga au pekosiHaaaaaa shuka tubonge ndio jina la hicho kiatu
jamani enzi hizo! Memory Q, Raisoni ngazi 4, GF 148 turntable na shati za kubana Tight! Indeed those were the days
Mkuu ile turntable Philips walifunga kazi ! Utafikiri imetoka nje kumbe Arusha.
Sijawahi kuviona hivyo viatu
Haya nimeamua kukutafutaKwa upande wangu inanikumbusha nilivyotaka kufukuzwa shule enzi hizo maana nilikutwa na mwalimu wa nidhamu nimevaa sarawiri na hicho kiatu ambacho nilikinunua BATA. Kisa ....
View attachment 299417
usintafute Kama wewe ni ME nataka nife na marinda yangu intactHaya nimeamua kukutafuta