Picha:Hatimaye Dkt shika awasili kwake salama

Unamaanisha tayari wamemkabidhi ule mjengo wake alioununua kwa sh 900? Ama alipokuwa akiishi kabla ya kuuonyesha uma wa waTanzania namna alivyo jiniasi.
 
Kumbe ana kumbukumbu nzuri. Lakini pia jeshi la polisi limeridhika pasi na shaka mpaka wameruhusu ajidhamini. 900
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…