Kachanchabuseta
JF-Expert Member
- Mar 8, 2010
- 7,263
- 685
Nikweli Ataenda lakini na dada yako!!!Swali: hivi na yeye ataenda honeymoon?
Nakushauli hili swali lipeleke kwenye Mambo ya Kikubwa ungepata majibu kwa ufasaa.....hapa kuna watoto.Swali: hivi na yeye ataenda honeymoon?
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Zee zima...yani aibu kwelikweli.
Tutaripoti live toka kanisani kama ile ya Mtoto wa Malkia
zee zima...yani aibu kwelikweli.
Zee zima...yani aibu kwelikweli.