Za mabibo hazikujengwa na Magufuli zilijengwa na NSSF..Hostel mpya za Chuo Kikuu zimegharimu Tsh 10 Billion
zikiwa na uwezo wa kuweka vitanda 3800. Zimejengwa 2017.
Hostel za Mabibo ziligharimu Bilioni 27 zenye uwezo wa kuweka vitanda 4000. Zilijengwa mwaka 2000
Nini maoni yako juu ya hili?
UmenenaUnaweza kujenga nyumba yako ya vyumba vitatu kwa milioni 50 na mwingine anaweza kujenga nyumba hiyohiyo ya vyumba vitatu kwa milioni 25.
Suala ni Quality not Quantity