Ewe kobaz ulitaka iwe kinyume chake ?!Hiki ni kipigo cha usiku kucha cha makombora ya Iran
Wanapigwa kama mbele yaani wamechokoza nyuki sasa wanaplay Victim card
Na haya yote utasikia walokufa ni watano tu[emoji1787].....Wazee wa kuficha madhara
Hizi picha zimeleak kwa shida sana maana wameondoa live Coverage zote
Israelis no longer receiving proper warnings of Iranian strikes.
Iran has wiped out the entire US THAAD and Patriot radar system in the Gulf using $50k drones. It will cost billions and take a decade to replace.
INCREDIBLE BREAKING NEWS[emoji599]
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS[emoji845][emoji91]
[emoji1130]Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris
View attachment 3555840View attachment 3555841View attachment 3555842View attachment 3555843View attachment 3555844View attachment 3555845View attachment 3555846View attachment 3555848View attachment 3555849
Telaviv nzima ni giza kwenye shelta hapakalikiIsrael kachomeshwa na USA anaua watu wake kijinga sana hapo watawadanganya mapimbi kuwa wote walikua kwenye shelter haya hao zima moto wanafanya nini na wametoa macho balaa..
Sijui huwa wanawaza nini kuanzisha vita isiyo na kichwa wala miguu huku wakijua madhara yake ni makubwa sana..
Gaza(Hamas) sindio walianza kubaka na kuwaua watu wa israel?Wote magaidi hata yeye Benja. Kaua wangapi hapo Gaza
Usinikumbushe ilipigwa risasi nikahisi wapo kibarazani kwangu, unajua kuchanganyikiwa??π€£π€£π€£Hawa wanaoshabikia si ajabu October 29 hata kwenda dukani kununua mkate hawakuweza. Na wengine siku ya tatu wakaanza kulalamika karantini iishe
Ila kwenye vita za wenzetu mnavyojifanya wachambuzi na mashabiki. Heartless cowards
Mmewaua kwa Hisia? Mnafikiria tu na mtu anakufa wajinga sana nyie!!!!Israel wamekufa viongozi wengi ila nyinyi kina mama hamjaambiwa ili kuepuka taharuki.
Baada ya Waislamu kuanza ugaidi πBifu lako na kobazi lilianzia wapi π
Walioamua kuingia vitani ni wanasiasa sio raia.Sio ujinga wewe ndio utakuwa mjinga zaidi. Watu ni nchi yao wameamua wenyewe kwa utashi wao na interest zao wewe yasiyokuhusu unawaona wajinga? Unajielewa kweli? Tuendelee kukimbisana na ccm huku na wakina Dc Magoti.
Aliyeanzisha crusade war alifanya political and religious terror,je yeye ni muislam?Baada ya Waislamu kuanza ugaidi π
We jamaa wa wapi!?Gaza(Hamas) sindio walianza kubaka na kuwaua watu wa israel?
Uislam unasema kila nafsi itaonja kifo.Hujajibu swali,
Kwa nini Allah alishindwa kumzuia Ayatollah gaidi asifariki
Ngoja tuoneFuraha yenu ni ndogo sana na haidumu kama furaha ya mwanamke aliyejifungua ingawa miezi tisa amepitia mateso.
Lakini hakika maisha yenu yote mpaka ulimwengu unaisha nakuahidi mtaishuhudia israel ikiendelea kuwanyoosha kisawasawa
Nimekuelewa sana mkuuHawa wanaoshabikia si ajabu October 29 hata kwenda dukani kununua mkate hawakuweza. Na wengine siku ya tatu wakaanza kulalamika karantini iishe
Ila kwenye vita za wenzetu mnavyojifanya wachambuzi na mashabiki. Heartless cowards
ππππππBenja haaaa wewe uyooooo kweli marafiki wa kweli utawajua wkt wa dhiki wapigwe tuππwatanzania kweli si wakuwaamini picha ya Lissu umeinajisi!!!Acha nao wapigwe, wamezidi kuonea wengine. Wamtungue Benja
Kiaje? Nyie ndio watu wa kufuata mikumboππππππBenja haaaa wewe uyooooo kweli marafiki wa kweli utawajua wkt wa dhiki wapigwe tuππwatanzania kweli si wakuwaamini picha ya Lissu umeinajisi!!!
Juzi walisema wanatumia laser ya kuzitungua hizi drone ambazo wao ina wa cost $3 kwa kila wakitungua Shahid moja ambayo ina cost $50k. Au ndio propaganda zao tuINCREDIBLE BREAKING NEWS[emoji599]
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS[emoji845][emoji91]
[emoji1130]Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris
Sizitaki mbichi hizi πObjective ni kuiondolea Iran uwezo wa kumiliki nuclear weapons lengo hilo ndio Paramount kwao na wamefanikiwa. Kubomoa hihayo magorofa Wala sio ishu kubwa Kwa Israel yatajengwa upya lakini sio kumiliki bomu la nuklia.