Picha: Hali ya Telaviv ni mbaya

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,185
Reaction score
24,565
Hiki ni kipigo cha usiku kucha cha makombora ya Iran

Wanapigwa kama mbele yaani wamechokoza nyuki sasa wanaplay Victim card

Na haya yote utasikia walokufa ni watano tu[emoji1787].....Wazee wa kuficha madhara

Hizi picha zimeleak kwa shida sana maana wameondoa live Coverage zote

Israelis no longer receiving proper warnings of Iranian strikes.

Iran has wiped out the entire US THAAD and Patriot radar system in the Gulf using $50k drones. It will cost billions and take a decade to replace.

INCREDIBLE BREAKING NEWS[emoji599]
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS[emoji845][emoji91]

[emoji1130]Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
INCREDIBLE BREAKING NEWS[emoji599]
TEL AVIV TONIGHT: IT'S TOTAL CHAOS[emoji845][emoji91]

[emoji1130]Iranian missiles raining down relentlessly, residential neighborhoods torn apart, buildings gutted, craters in the streets, black smoke everywhere
Direct impacts confirmed, mounting human casualties, severe injuries from shrapnel and debris
 
Israel kachomeshwa na USA anaua watu wake kijinga sana hapo watawadanganya mapimbi kuwa wote walikua kwenye shelter haya hao zima moto wanafanya nini na wametoa macho balaa..
Sijui huwa wanawaza nini kuanzisha vita isiyo na kichwa wala miguu huku wakijua madhara yake ni makubwa sana..
 
Kwa sasa Manzese inaonekana nzuri kuliko Tel Aviv.
 
Wacha watwangane kisawasawa. Iran wanadai aliyepewa Urais ndio mwehu kabisa, bora aliyekufa.
 
Alieshiba hamjui mwenye njaa.

Namaanisha hayo yanayowakumba raia wa Israel kwa sasa, wala hayamsononeshi Netanyahu kwa namna yoyote ile, sababu yeye familia yake tayari ashaikimbizia nje ya nchi kitambo.

Na isitoshe ana nyumba na biashara zake kule Marekani na kwao Poland. So hata wakifa raia wote na Tel Aviv kugeuka jangwa, yeye hana cha kupoteza as long as yeye anapata kafara ya damu kupitia vifo vyao.
 
Yaani watu wakae baraza zima wanaoijua nchi yao wakaanzisha mashanbulizi wewe mmatumbi unasema wameanzisha vita haina kichwa wala miguu? Mambo mengine tuwaachie wao ndio wanajua vizuri nini wanataka sisi tuwe watizamaji tu na muda utatoa majibu sahihi.
 
Wazungu wajinga tu si unaona watu wanavyokufa huko Dunia ya sasa hivi hawatatui migogoro kwa Vita ndio maana Spain walikataa ardhi yao kutumia kuweka base pale nyi Wandengereko mnadhani kila wanachoamua wazungu wapo sahihi ujinga ni ugonjwa mbaya sana aisee..
 
Hawa wanaoshabikia si ajabu October 29 hata kwenda dukani kununua mkate hawakuweza. Na wengine siku ya tatu wakaanza kulalamika karantini iishe

Ila kwenye vita za wenzetu mnavyojifanya wachambuzi na mashabiki. Heartless cowards
 
Sio ujinga wewe ndio utakuwa mjinga zaidi. Watu ni nchi yao wameamua wenyewe kwa utashi wao na interest zao wewe yasiyokuhusu unawaona wajinga? Unajielewa kweli? Tuendelee kukimbisana na ccm huku na wakina Dc Magoti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…