PICHA: Gari namba T571 DGB imeibiwa Shoppers Plaza Tarehe 23/04/2016

chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
19,699
22,737
3RwZXdpa.jpg

Gari imeibiwa dakika chache zilizopita shoppers plaza ukiona please cont+255 715 066 278

================

⁠⁠⁠Gari imeibiwa, 23/4/2016 Shopper plaza- Mikocheni, mida ya saa 9 mchana. Ni Volkswagen Tourge, Blue color... Kama umeiona au unajua ilipo au unajua chochote tafadhali piga number hii ‪+255 715 066 278‬ au toa ripoti polisi.

Hii story ntaiandika in full ili na wengine muwe makini mnapokuwa mnauza magari. Dada alieibiwa alitaka kushare ili isije kumtokea mtu mwingine. Na tafadhali kama unajua lolote kuhusu hili gari pls piga 0715 066 278‬

Story iko Hivi. Gari ilipostiwa kupatana. Jumamosi akapigiwa simu na muhindi Kuwa kaipendaKufika muhindi akampigia akasema yuko busy Ila Fundi wake ataangalia gari, basi Fundi akafika akaangalia gari akaongea na muhindi akaondoka. Baadae accountant akampigia wakutane waangalie contract. Accountant kufika akatoa mkataba feki then akamuuliza Fundi si alitest drive gari? Akasema Hapana aliangalia tu. Basi akajifanya kupanick Yani hajatest drive ?akampigia muhindi, muhindi akampigia huyo dada anajifanya kahamaki Fundi wake haki test drive wakati yeye anajua VW zina Tatizo la shock up . Basi wakapanga wakutane Kesho yake ambayo ndo jana Kwa ajili ya kutest drive na kulipana kabisa.

Kesho yake dada wa watu akaenda shoppers plaza. Accountant akaja wakaingia wote kwenye gari wakadrive kidogo. Basi wakapaki accountant akamrudishia dada funguo yake wakashuka, akamwambia muhindi nae keshafika shoppers anataka aone mwenyewe so yeye anaenda kumtafuta upande wa pili wa shoppers then anakuja nae so awasubiri pale juu Art Cafe. . Dada wa watu akawa amekaa anawasubiri. Kasubiri mpaka kachokaaaaaa, jamaa hajarudi. Kuchungulia chini gari yake haipo.

Sasa unajua kaibiwaje? Siku ya kwanza Fundi wa gari alipokuja alikuwa kaja kuangalia funguo wa gari ukoje. Wakaenda kutengeneza similiar looking key. So siku alipoibiwa jamaa alivyosema anataka kutest drive gari ni kwamba alitaka tu funguo ya gari. Then akamrudishia funguo fake ambayo imefanana na yake. Then wao wakasepa na gari.

Number aliokuwa anatumia muhindi ni 069 271 3707 na imesajiliwa TIGo Kwa Jina la Aleej Khimji. Number ya accountant ambae ndo aliiba gari alisema anaitwa Omar ni +255 715 936 985 na number ya Fundi aliejiita Joseph ni +255 715 937 547
 
Plate namba peke yake ndio kifaa pekee kwny hiyo gari mpaka kesho Alfajir kitakuwa hakijafika gerezani Kariakoo.

Wakati Wazungu wanawekeza kwny viwanda vya ku assemble gari, Bongo kuna watoto Mavi hao usiku mmoja tu unawatosha ku dissemble gari ndogo yoyote. Wana kasi kama ya wale wachuna ng'ombe vingunguti.

Fuatilia Bima kama una comprehensive Insurance
 
hiv jamani watu wanaibaje magari..wajuzi mtueleze...au jamaa hakuilock gari vizuri...mdau pia utuambie what didnt happened...
 
Tumekariri Faraja ni kusema jambo la kutia matumaini hata kama haliwezekani.

Haya " avute subira na awe mvumilivu atalipata tu gari lake na hao wezi wataipata fresh kwa kuwa siku za mwizi ni Arobaini".

Mnyama hawi mtu hata akivaa kanzu!
 
Haha Hamna mkuu ni assumptions tu kwa sababu gari haiwezi ikaibiwa ukaikuta bar kwamba inatumika kama glass ya kunywea Champagne
Ila kwa Magari kama hayo ,Comprehensive insurance ama car track sio ombi ni vitu vya lazima kufanya kwa mwenye nalo ,vinginevyo ni maumivu tu
SIO UKAWA ILE AIKUTE RGARDEN MWAKAHUU NAKWAMBIA WATATUNYIOSHA MBAYA WANAPIGA GARIZAMIKOPO SIJUI WATEMBEE UCHI WATU AMA
 
Aende polisi osterbay aongeenao vizuri nawahakikishia inapatikana...kunasiku tuliibiwa Gari jamaa tukakutana pale kama tunatoa sadaka ya shukran kibao wanaeleweka baadaya mda zikapigwa rediocall kadhaa mashallah tukajachukuliwa NA defender moja Gari imetekelezwa KWA mtogole usiniulize zaidi jiongezee
 
HUU MWAKA TUTAKESHANNA MWENDOKASI WOTE UWIII YAANI WALIOHOII WANAPAKI BADO AO NDUGUZETU WAMEPATA NEEMA YA DDG MNAWAPIGA UWIII

NAKOFO NDAOOO
 
Gari imelockiwa hao wezi wameibaje? share xperience maana huwa tunaacha magari hapo tukienda s/market.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom