picha gani unapata miaka mingine mitano katika utawala wa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

picha gani unapata miaka mingine mitano katika utawala wa CCM

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by inols, Nov 3, 2010.

 1. inols

  inols JF-Expert Member

  #1
  Nov 3, 2010
  Joined: Sep 22, 2010
  Messages: 285
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Miaka mitano iliyopita ilikuwa ni miaka ya mapambano na mafisadi, kuvunja baraza la mawaziri mara kwa mara, safari zisizokwisha, kupanda kwa bei ya bidhaa, kushuka kwa thamani ya shilingi ya kitanzania. Ni miaka ambayo tumeona na kusiakia ya ajabu, kilimo kwanza kwa ajili ya makampuni ya kifisadi kuweza kufanya biashara kwa kumnyonya mkulima wa kipato cha chini, watanzania kutapatiwa vyandarua kwa ajili ya kupambana na mbu katika kampaeni ya malaria haikubaliki. Kwa kweli inasikitisha, sasa hivi tujiandae na shilingi kuwa 2500 kwa dola moja ya kimarekani, tujiandae kwa kodi za ajabu ajabu kurudisha pesa zilizotumika kwa manufaa ya CCM. Tujiandae kwa kilo moja ya unga wa sembe kuwa Sh 2500 na sukari kilo moja kuwa Sh 2800, Nyama 1K=Sh 6000, nauli ya daladal kuwa Sh 400. Kwa kweli tujiandae kufanga mikanda, tujiandae kwa maandamano ambayo hatujawai kuyaona tangia uwepo wa nchi inayoitwa Tanzania. Natamani hii miaka ijayo mitano ipite kwa kasi ya mlio wa sauti 3*10^8 m/s.
   
 2. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #2
  Nov 3, 2010
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Maisha mabaya sana kwa Watanzania, uongozi wa shida sana kwa Kikwete na hatimaye kifo cha ccm.
   
 3. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #3
  Nov 3, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,833
  Trophy Points: 280
  Picha hii....imenipa matumaini sana

  [​IMG]
   
 4. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #4
  Nov 3, 2010
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,261
  Likes Received: 19,389
  Trophy Points: 280
  du!! well said ila itapita kwa mendo wa kinyonga man,watanzania poleni
   
 5. Mahai

  Mahai JF-Expert Member

  #5
  Nov 4, 2010
  Joined: Jan 14, 2010
  Messages: 351
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Dispair, paralyzing fear....
   
Loading...