Picha: Dunia yampinga Trump baada ya marufuku kwa Waislamu kuingia Marekani kuanza Jumamosi hii

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,320
11,322
Uamuzi wa Donald Trump kupiga marufuku wahamiaji wa kiislamu kutoka kwenye nchi zenye raia wengi wa dini hiyo, umesababisha hasira kuu duniani kote na wahamiaji wakikataliwa kupanda ndege kuingia Marekani.

Raia waliokuwa na hati za kusafiria kutoka Iran, Iraq, Libya, Somalia, Sudan, Syria na Yemen walizuiliwa kwenye viwanja vya ndege, wakati wale waliokuwa wameshapanda ndege walishikiliwa baada ya kutua Marekani.

Katika tukio moja, abiria watano wa Iraq na mmoja wa Yemeni, waliokuwa na visa halali, walizuiliwa kupanda ndege ya EgyptAir iliyokuwa ikitoka Cairo kwenda New York na hatimaye kuelekezwa kwenye ndege zinazorudi kwenye nchi zao.

Mwanamke mmoja aliyekiambia mauaji ya Isis nchini Iraq mwaka 2014, alizuiliwa kupanda ndege mjini Baghdad, baada ya kusubiria visa kwa miezi mingi ili akaungane na mumewe ambaye tayari yupo Marekani. Rais Trump amepiga marufuku kwa miezi mitatu wakimbizi toka nchi saba duniani, ili kuchuja magaidi wa kiislamu wasiingie nchini humo.

Wakimbizi kutoka Syria wamepigwa marufuku kimoja.

Hata hivyo, jaji mmoja alitoa ruhusa Jumamosi kwa raia kutoka nchi hizio saba waliokuwa wameshaingia nchini humo, wale waliokuwa njiani, wenye visa halali kukaa Marekani. Waandamaji kadhaa walikusanyika kwenye viwanja vya ndege nchini Marekani Jumamosi hii kupinga uamuzi huo wa Trump. Maandamano zaidi yatafanyika Jumapili hii.

Hizi ni picha za maandamano hayo:

3C9C194400000578-4167812-image-a-138_1485653562446.jpg

3C9C174000000578-4167812-image-a-131_1485653438263.jpg

3C9B283400000578-4167812-image-a-83_1485650329739.jpg

3C9B8A2C00000578-4167812-image-a-73_1485649888860.jpg

3C9B6F8900000578-4167812-image-a-75_1485649925182.jpg

3C9B6C9100000578-4167812-image-a-2_1485651456337.jpg
 
Mkuu ni hatar nahis ukimtajia muislam ama mwafrika anataman kuwamaliza wote ...anataka amerika waishi wamarekani tu
911 iliongeza idadi ya wamarekani kuingia uislamu. Ingawaje lengo lilikuwa ni propaganda dhidi ya uislamu lakini matokeo yake wamarekani wasio na dini na wakristo waliamua kusoma/ kujieleimisha zaidi juu ya uislamu. Matokeo yake wengi waliamua kuwa waislamu kwa hiyo Trump badala ya kupunguza waislamu Marekani ndio atawaongeza.

Hajasema maislam yeye kasema magaidi. Badala a kulazimisha kwenda America, hayo maislam magaidi si yakae kwao?

Kama yanawatukana kila sku wamarekani kwa nili yanalazimisha kwenda kuishi kule? Wakae kwenye nchi zao na dini yao ya amani. America kuna nini ch akwao? WAnafuata nini?

Naomba ukome kulazimisha uhusiano wa maislam na Waafrika. Afrika ni Afrika, na majitu mengine hukko huko. Usilazmishe kuambatanisha maislam na Waafrika.

Mkuu ni hatar nahis ukimtajia muislam ama mwafrika anataman kuwamaliza wote ...anataka amerika waishi wamarekani tu[/QUOTE
 
911 iliongeza idadi ya wamarekani kuingia uislamu. Ingawaje lengo lilikuwa ni propaganda dhidi ya uislamu lakini matokeo yake wamarekani wasio na dini na wakristo waliamua kusoma/ kujieleimisha zaidi juu ya uislamu. Matokeo yake wengi waliamua kuwa waislamu kwa hiyo Trump badala ya kupunguza waislamu Marekani ndio atawaongeza.

Duuh
 
Hajasema maislam yeye kasema magaidi. Badala a kulazimisha kwenda America, hayo maislam magaidi si yakae kwao?

Kama yanawatukana kila sku wamarekani kwa nili yanalazimisha kwenda kuishi kule? Wakae kwenye nchi zao na dini yao ya amani. America kuna nini ch akwao? WAnafuata nini?

Naomba ukome kulazimisha uhusiano wa maislam na Waafrika. Afrika ni Afrika, na majitu mengine hukko huko. Usilazmishe kuambatanisha maislam na Waafrika.
Huna haja ya ku provoke.
Sio mimi nliesema ...au unataka nikupe source ya hio habari.
Rais wa Marekani ama Uniter States of America kasema hataki waislamu kutoka mataifa kadhaa yenye waislamu wengi waingie nchini mwake na ni kwa miezi mitatu, lengo lake ni kuchuja magaidi.

Umepata visa ama passport ya kuja marekani,,unarudishwa ulikotoka itakupasa usubiri miezi 3. Na zoezi limekua linaendelea watu wanarudishwa. Fuatilia habari na usome kwa kina habar usikurupuke tu.
 
Hajasema maislam yeye kasema magaidi. Badala a kulazimisha kwenda America, hayo maislam magaidi si yakae kwao?

Kama yanawatukana kila sku wamarekani kwa nili yanalazimisha kwenda kuishi kule? Wakae kwenye nchi zao na dini yao ya amani. America kuna nini ch akwao? WAnafuata nini?

Naomba ukome kulazimisha uhusiano wa maislam na Waafrika. Afrika ni Afrika, na majitu mengine hukko huko. Usilazmishe kuambatanisha maislam na Waafrika.
Na ikitajwa afrika mnakua provoked na wakat alisema waz kua ni zamu ya wamarekani...hatak tena kusikia wahamiaji(waafrika wamo) wanakuja kuchukua kaz zao so americans first kila kitu kitakachokua decided kwanza AMERICA FIRST ...and by the way hakuna waafrika waislamu au ni waarabu tu, au hakuna magaidi waislamu waafrika
 
Mwenyezi mungu ana dini?

Si unamzungumzia Allah?
Ni tatizo la uelewa ulionao au kujitoa ufahamu.
Mungu hahitaji dini wala mtoto. Hapa imekusudiwa Mungu amempa binadamu dini (njia/ mwongozo wa maisha). Mwongozo huo unaitwa Uislamu. Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Mungu, kutenda na kusema yale yanayompendeza Mungu na Kutokutenda au kusema yale aliyoyakataza Mungu.

Mungu amekuwekea bayana baina ya kushukuru au kukufufuru na malipo yake. Chaguo ni lako.

Kama ni mja wa kufundishika, ongeza maarifa.

Link What is Islam? Understanding the Muslim Religion and Allah’s Message to Mankind

Link2. The chosen religion

Link3. ISLAM: The Religion of All Prophets - GainPeace

Link4. What Is Islam - GainPeace
 
Ni tatizo la uelewa ulionao au kujitoa ufahamu.
Mungu hahitaji dini wala mtoto. Hapa imekusudiwa Mungu amempa binadamu dini (njia/ mwongozo wa maisha). Mwongozo huo unaitwa Uislamu. Uislamu maana yake ni kujisalimisha kwa Mungu, kutenda na kusema yale yanayompendekeza Mungu na Kutokutenda au kusema yale aliyoyakataza Mungu.

Mungu amekuwekea bayana baina ya kushukuru au kukufufuru na malipo yake. Chaguo ni lako.

Kama ni mja wa kufundishika, ongeza maarifa.

Link What is Islam? Understanding the Muslim Religion and Allah’s Message to Mankind

Link2. The chosen religion

Link3. ISLAM: The Religion of All Prophets - GainPeace

Link4. What Is Islam - GainPeace
Shukraan,
 
Uamuzi wa Donald Trump kupiga marufuku wahamiaji wa kiislamu kutoka kwenye nchi zenye raia wengi wa dini hiyo, umesababisha hasira kuu duniani kote na wahamiaji wakikataliwa kupanda ndege kuingia Marekani.

Raia waliokuwa na hati za kusafiria kutoka Iran, Iraq, Libya, Somalia, Sudan, Syria na Yemen walizuiliwa kwenye viwanja vya ndege, wakati wale waliokuwa wameshapanda ndege walishikiliwa baada ya kutua Marekani.

Katika tukio moja, abiria watano wa Iraq na mmoja wa Yemeni, waliokuwa na visa halali, walizuiliwa kupanda ndege ya EgyptAir iliyokuwa ikitoka Cairo kwenda New York na hatimaye kuelekezwa kwenye ndege zinazorudi kwenye nchi zao.

Mwanamke mmoja aliyekiambia mauaji ya Isis nchini Iraq mwaka 2014, alizuiliwa kupanda ndege mjini Baghdad, baada ya kusubiria visa kwa miezi mingi ili akaungane na mumewe ambaye tayari yupo Marekani. Rais Trump amepiga marufuku kwa miezi mitatu wakimbizi toka nchi saba duniani, ili kuchuja magaidi wa kiislamu wasiingie nchini humo.

Wakimbizi kutoka Syria wamepigwa marufuku kimoja.

Hata hivyo, jaji mmoja alitoa ruhusa Jumamosi kwa raia kutoka nchi hizio saba waliokuwa wameshaingia nchini humo, wale waliokuwa njiani, wenye visa halali kukaa Marekani. Waandamaji kadhaa walikusanyika kwenye viwanja vya ndege nchini Marekani Jumamosi hii kupinga uamuzi huo wa Trump. Maandamano zaidi yatafanyika Jumapili hii.

Hizi ni picha za maandamano hayo:

View attachment 465103
View attachment 465104
View attachment 465105
View attachment 465106
View attachment 465107
View attachment 465108

WAISLAM wote SI MAGAIDI
Lakini
MAGAIDI wote ni WAISLAM
 
Back
Top Bottom