.. ngoshwe si ndio hapo hata mimi nashangaa nadhani jamaa ni bwabwa kwa kweli mtoto wa kiume uliyekamilika hata wakija kama ni akina dada au kaka valangati litakaloanguka hapo lazima mmoja wao akalzwe ICU. Sasa huyo mpaka huo muda wa kuvalishwa kanga na kupakwa rangi uko kimya tu??.....Mh!
Bado zamu yako Mfunyukuzi!!
Duh kwa kosa gani anyways I can stop contributing in JF if need be
Mfuku avatar yako nzuri!!!!!
Ipi sasa hii mpya au mpya kabla ya hii au ile iliyopigwa sana vita humu
Now I gotcha hii ni kiashirio kuwa Mfunyukuzi mpya ndani ya JFaaah bwana wee mi mpya kabla ya hii si ningekwambia wakati huo?? am tokn of tha one displayed now now! maisha marahisi tu ww unataka kuyafanya magumu...............
HUU NI UPUUZI!
Waliomsuta ni akina kaka au dada? Huyu kaka ina maana ni mlegevu kiasi gani hadi alazimishwe kufanya mambo yasiyo na hata chembe ya utu?
HUU USWAHILI UMEZIDI SASA.
Labda alipewa fedha ili awe mdembedo!!HUU NI UPUUZI!
Waliomsuta ni akina kaka au dada? Huyu kaka ina maana ni mlegevu kiasi gani hadi alazimishwe kufanya mambo yasiyo na hata chembe ya utu?
HUU USWAHILI UMEZIDI SASA.
Huyu ananonesha kabisa kuwa SI RIZIKI
bila shaka ni boflo hili