PICHA---Duh mwanaume anaposutwa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

PICHA---Duh mwanaume anaposutwa

Discussion in 'Jamii Photos' started by Lucchese DeCavalcante, May 24, 2010.

 1. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #1
  May 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  [​IMG]

  Huyu kaka ambae jina lake nalihifadhi, ni mkazi wa Mwananyamala kwa mama Zakaria inasemekana amekuwa mchonganishi kwa kutoa maneno huku na kuyapeleka kule mpaka kufikia watu kupigana ile mbaya.Sasa leo mchana wahusika wasichana kwa waavulana ambao wamedai kuchoshwa na tabia yake hiyo wamemkamata wamempiga na kumuamuru kuvaa kanga,wakamwamuru apike, afue, afagie, aoshe vyombo n.k


  [​IMG]

  hapo kapewa kanga kaambiwa ajifunge...ili akafanye kazi za kike

  [​IMG]

  ukimtazama kwa karibu utaona uvimbe,hapo ni baada ya kupigwa maskini yaani mpaka nilimuonea huruma........

  [​IMG]

  amepakwa lipstik na eye shedow akaambiwa aweke pozi


  [​IMG]

  kuna mdada hapa alikuwa anamwambia akae vizuri anyooshee vidole ampake rangi.........


  [​IMG]

  mwanakaka alikuwa naamrishwa kufanya kila jambo kutoka kwa wabaya wake,hapo anaambiwa aweke pozi anyanyue kidole ka maringo...mmmh watu wabaya..

  [​IMG]
   
 2. Tausi Mzalendo

  Tausi Mzalendo JF-Expert Member

  #2
  May 24, 2010
  Joined: May 23, 2010
  Messages: 1,471
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  HUU NI UPUUZI!
  Waliomsuta ni akina kaka au dada? Huyu kaka ina maana ni mlegevu kiasi gani hadi alazimishwe kufanya mambo yasiyo na hata chembe ya utu?
  HUU USWAHILI UMEZIDI SASA.
   
 3. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #3
  May 24, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Mwenyewe yuko kama nanihiiiii mbona
   
 4. Rubi

  Rubi JF-Expert Member

  #4
  May 24, 2010
  Joined: Oct 5, 2009
  Messages: 1,623
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Kama alikuwa domo wazi na kuchonganisha watu [pengine anastahili akitoka hapo anahama mtaa! tehe tehe.
   
 5. Masikini_Jeuri

  Masikini_Jeuri JF-Expert Member

  #5
  May 24, 2010
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 6,809
  Likes Received: 364
  Trophy Points: 180
  tihi tihi
  heheheheheheheheh

  Kweli Uswazi si mchezo Du!
   
 6. F

  Fernandes Rodri JF-Expert Member

  #6
  May 24, 2010
  Joined: Apr 11, 2009
  Messages: 405
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 45
  Huyu ananonesha kabisa kuwa SI RIZIKI
   
 7. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #7
  May 24, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Bado zamu yako Mfunyukuzi!!
   
 8. A

  Akili Kichwani JF-Expert Member

  #8
  May 24, 2010
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 1,504
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  hahahaa........
   
 9. Lucchese DeCavalcante

  Lucchese DeCavalcante JF-Expert Member

  #9
  May 24, 2010
  Joined: Jan 10, 2009
  Messages: 5,473
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 145
  Duh kwa kosa gani anyways I can stop contributing in JF if need be
   
 10. w

  wakumbuli Senior Member

  #10
  May 26, 2010
  Joined: Aug 20, 2009
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Kukaaa uswazi kujua mengi,kila mtu kwake hayapo mambo kama haya
   
 11. roselyne1

  roselyne1 JF-Expert Member

  #11
  May 26, 2010
  Joined: Feb 18, 2010
  Messages: 1,369
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  nilikuwa nakutania na wewe!!!!:painkiller:
   
 12. bht

  bht JF-Expert Member

  #12
  May 26, 2010
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 10,341
  Likes Received: 209
  Trophy Points: 160
  hahaaaaaa aki wewe roselyn una vituko sana!!!!!!!!
   
 13. ngoshwe

  ngoshwe JF-Expert Member

  #13
  May 26, 2010
  Joined: Mar 31, 2009
  Messages: 4,075
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  kampigwa na hao akina dada, ni Kidume kweli huyu?
   
 14. Sajenti

  Sajenti JF-Expert Member

  #14
  May 26, 2010
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 3,673
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  .. ngoshwe si ndio hapo hata mimi nashangaa nadhani jamaa ni bwabwa kwa kweli mtoto wa kiume uliyekamilika hata wakija kama ni akina dada au kaka valangati litakaloanguka hapo lazima mmoja wao akalzwe ICU. Sasa huyo mpaka huo muda wa kuvalishwa kanga na kupakwa rangi uko kimya tu??.....Mh!
   
 15. Kituko

  Kituko JF-Expert Member

  #15
  May 26, 2010
  Joined: Jan 12, 2009
  Messages: 9,365
  Likes Received: 7,001
  Trophy Points: 280
  bwabwa hilo
   
 16. JM Aristotle

  JM Aristotle Senior Member

  #16
  May 26, 2010
  Joined: Mar 9, 2010
  Messages: 164
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa upande fulani... na yeye akajifunze bwana... Uchonganishi hata sio mzuri...
   
 17. m

  mchajikobe JF-Expert Member

  #17
  May 26, 2010
  Joined: Aug 14, 2009
  Messages: 2,366
  Likes Received: 661
  Trophy Points: 280
  Mi naona hii ni comedy star search!!!
   
 18. Ringo Edmund

  Ringo Edmund JF-Expert Member

  #18
  May 26, 2010
  Joined: May 10, 2010
  Messages: 4,895
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 0
  hilo chezo tu hamna kidume unachoweza kukifanya hivyo.labda kinachimbwa
   
 19. kobonde

  kobonde Senior Member

  #19
  May 27, 2010
  Joined: Jan 6, 2010
  Messages: 154
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  habari kamili nenda www.dina marios blogspot
   
 20. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #20
  May 27, 2010
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Tuende tunakafanye mazee? Unajua ujinga tunaupalilia wenyewe.
   
Loading...