Picha: Dkt. Slaa akiwa Nzega | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Picha: Dkt. Slaa akiwa Nzega

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Selous, Oct 19, 2010.

 1. Selous

  Selous JF-Expert Member

  #1
  Oct 19, 2010
  Joined: Jan 13, 2008
  Messages: 1,322
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Wanaosema Dkt. Slaa vijijjini hajulikani mara wasukuma hawajui kutamka Slaa lakini safari hii kwa yaliotokea Ndala na Nzega. Tusubiri October 31st. Nawashauri CCM propaganda kwa sasa hazina nafasi.........Hasa pale msukuma/mnyamwezi alipojua kuwa ukinunua mafuta ya taa unalipa KODI? Hukumu ya kifo kwa hospitali kukosa dawa?

  Angalia mabango, umati ulioambia utulie uache ushabiki na mwishoni watu hawaamini kama wameachwa peke yao.

  P1040308.JPG
  Bango hilo

  P1040321.JPG

  Bango lingine
  P1040338.JPG
  Usikivu ni kitu muhimu

  P1040381.JPG
  Hawaamini kama Dkt anaondoka
   
 2. Lu-ma-ga

  Lu-ma-ga JF-Expert Member

  #2
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 2,847
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Haya ndiyo tunataka mkuu, CCM wabishi sana wanataka evidence ndo waamini sasa wataamini, hakuna malori pale ndala watu kwa mguu wao walisafiri kuona Rais wao.
   
 3. v

  valour Senior Member

  #3
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 3, 2010
  Messages: 167
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  KAMPUNI YA BI SALMA INATAKA UBUNGE NZEGA

  NANI ANAROPOKA?
  A. HOSPITAL ZISIZO NA DAWA WALA WATALAAMU ZITAKUWA ZA RUFAA

  B. KILA PENYE ZIWA NITALETA MERIKEBU
  C. SIHITAJI KUWA ZA WAFANYAKAZI
  D. VIWANJA VYA NDEGE VITAJENGWA KWA WINGI
  E. KUAMBUKIZWA UKIMWI NI KIHEREHERE
  F. BAJAJI ZITABEBA WAJAWAZITO
  G. MRAMBA NA LOWASSA NI WATU SAFI NA WACHAPAKAZI
  BY J.K

  Kweli wananchi wameamka, kwahiyo wanaona Rais wao anatania kwamba ahadi zake hazitekeleziki? Labda abadilishe strategy kwa muda uliobaki otherwise imekula kwake.
   
 4. Rutashubanyuma

  Rutashubanyuma JF-Expert Member

  #4
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 158,499
  Likes Received: 418,984
  Trophy Points: 280
  Jk asipokuwa mwangalifu ICC itamweka mkononi kabla ya Desemba mwakani kwa kuuvuruga chaguzi hii......................
   
 5. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #5
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280

  Mkuu Dr. alisema hivi "....hizi ahadi anazotoa JK, inawezekana ni tatizo la elimu aliyonayo au.......?"

  Pia kuna Bango moja liliandika ....."hizo bajaji 400 za JK kama anaona zitasaidia basi aanze kupanda Salma!......"
   
 6. Omuregi Wasu

  Omuregi Wasu JF-Expert Member

  #6
  Oct 19, 2010
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 753
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Duhh! Ndo hali halisi hiyo? Kila la heri ila mjitahidi kuwasaidia wakapige kura tarehe 31 octoba.
   
 7. Domhome

  Domhome JF-Expert Member

  #7
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 28, 2010
  Messages: 2,004
  Likes Received: 1,054
  Trophy Points: 280

  Hapo penye Red Mkuu,
  Na kwavile yeye anapenda kuzurula ovyo ovyo kumkamata itakuwa ni rahisi zaidi tofauti na Hussein Al Bashir wa Sudan.
   
 8. E

  Edo JF-Expert Member

  #8
  Oct 19, 2010
  Joined: Jun 11, 2008
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 33
  Kupiga kura ni jambo moja, lakini kuzilinda ni muhimu sana
   
 9. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #9
  Oct 19, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
 10. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #10
  Oct 19, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
 11. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #11
  Oct 19, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
 12. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #12
  Oct 19, 2010
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
 13. F

  Fanfa JF-Expert Member

  #13
  Oct 19, 2010
  Joined: Sep 25, 2009
  Messages: 538
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Habari ndo hiyo. Mwaka huu lazima kieleweke. Dr. Slaa ushindi ni wako
   
 14. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #14
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  Mkuu, usisahau ameahidi hospitali kubwa kwa kila Jimbo ifikapo 2015.
  Ukipiga hesabu ya ahadi za JK, zinafika 76 kwa sasa, ifikapo mwisho wa kampeni zitakuwa labda 100.

  There fore: 1 year = 365 days
  5 years = 1,825
  If number of promises = 100;
  Implementation time = 1,825 days

  This means, 1,825/100 = 18 days.

  kwa hiyo, KJ atatakiwa kutimiza ahadi moja kwa siku 18 tu.

  HUU SI UTANI?
   
 15. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #15
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jamani wananchi hawadanganyiki tena! Kikwete is sic
   
 16. Bigirita

  Bigirita JF-Expert Member

  #16
  Oct 19, 2010
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 13,976
  Likes Received: 688
  Trophy Points: 280
  hahahhaaaaaa! hapa umeua.
   
 17. Buswelu

  Buswelu JF-Expert Member

  #17
  Oct 19, 2010
  Joined: Aug 16, 2007
  Messages: 1,989
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  U made ma day mkuuu....Never new uko fast namna hii kufanya mahesabu ya haraka kuona ni jinsi gani kuna vitu havitimiziki....katika miaka 5.
   
 18. K

  Kisiwa Senior Member

  #18
  Oct 19, 2010
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 119
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  this guy (slaa) is smart jamani. mimi nimekumbana naye akiwa m/kiti wa LAAC, hahongeki!
   
Loading...