Mwanamama mrembo na mjasiriamali kutoka pande Za uganda
, Zari the bosslady , kwenye insta story amepost picha akiwa kwenye ndinga yake mpya ikiwa imeambana na caption ya kumshukuru baba T (Diamond) kwa kumuwezesha kuipata gari hiyo mpya.
“ Sante Baba T for the Top up “ aliandika zari kwenye insta story yake .
Mmh shoga angu nae anapenda drama ndo kutuambia anapendwa sana au mxieew , ila hongera mwenzangu sijui unarogaga wapi loh
Hiyo caption haionesh baba t kanunua hilo gari. Wala gari lenyewe halioneshi kuwa ni mali ya zari hapo naona kaweka tako tu kuwarusha roho akina warumi
Hiyo caption haionesh baba t kanunua hilo gari. Wala gari lenyewe halioneshi kuwa ni mali ya zari hapo naona kaweka tako tu kuwarusha roho akina warumi