Picha: Dar na Mabango ya Kichina-China…….

Picha: Dar na Mabango ya Kichina-China…….

Ambiente Guru

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2012
Posts
2,626
Reaction score
1,098
attachment.php

Imekumbana nalo Barabara ya Kinondoni/ Makaburini… Tusaidiana wale wanaoielewa hiyo lugha.
 

Attachments

  • Dar China (2).jpg
    Dar China (2).jpg
    98.7 KB · Views: 797
He! inamaana huna taarifa??? mbona tayari nchi washauziwa wachina, we uko dunia gani??
 
wanamaanisha kuwa, "ufikapo eneo hili ujue uko china na sheria zinazotumika ni za china, Ahsante ~ sheshe".
 
Muda si mrefu na sisi tutakuwa na China town.
 
Toka ile issue ya ridhiwan kudakwa na yale maswala kule guangzhou! Wachina wametamalaki sana hapa tanganyika! Sasa hivi hata hawaogopi tena, hata dada zetu wanawaoa!
 
Back
Top Bottom