Picha : Dalili za Oktoba 2015

Litabaki jengo la simba tu,yanga mwisho wao hiyo mvua ya october, mana haitabakiza wachezaji na timu hii itageuka pinzani.

....nasikia wengine wameanza mipango ya kujisalimisha Msimbazi !!!
 
....Mkuu Emma hata mimi ningekimbia nyumba ....kusombwa na mafuriko kisa !!!

Pole sana wewe ulikuwa wapi kule mabondeni au jangwani serikali ya ccm imewapa msaada gani mpaka sasa .
 

.....Mkuu angaza !!!
 
Kwa hiyo hizi mvua msimu huu pale hazinyeshi kbs.:glasses-nerdy:
 
....

....Mikoa kama Arusha Mwanza Mbeya mafuriko yalishasomba watu
 
Litabaki jengo la simba tu,yanga mwisho wao hiyo mvua ya october, mana haitabakiza wachezaji na timu hii itageuka pinzani.

.....waona mbali wamesha sanuka kuhama ni MUHIMU !!!
 
...

....Kwa GT tu !!!

Huu ni Mwezi May tukifika Oktoba itakuwaje........

Come October Yanga watauza sana samaki. naona huo ni mradi mzuri wa bwawa la samaki kuliko kuwekeza kwenye uwanja wa mpira
 
...

....Kwa GT tu !!!

Huu ni Mwezi May tukifika Oktoba itakuwaje........

Kwa hali hii ikifika oktoba zile meli alizoahidi kikwete zitakuwa zimepark hapo jangwani kuvusha watu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…