PICHA: Compare and contrast - Mwanza and Morgoro

muwe mnawakumbusha hao wasanii kufunika chupi zao la sivyo tutahisi wako sokoni......................
 
hakuna wa kuzuia nguvu ya umma. wao wana wasanii, sisi tuna vichwa.
 
jamani vijana hatima ya nchi yetu ipo mikononi mwetu i9 nabidi tujitokeze kwa wingi tupige kura tusiishie tu kuudhuria vikaoni jamani mbona njia ya ikulu nyeupe hivi kwa cdm viva cdm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…