Chonde Makamanda wa Vijana kote nchini; Kamanda Mr II na Kamanda Lema hebu shukeni pale Igunga mara moja wapiga kura vijana wanatafuta kwa udi na uvumba kusikia sauti zenu.

sasa kama unyo tafsiri ya neno milele si uiweke hapa, makelele mengi hayasaidii kitu. Ukweli unabaki kuwa ccm hainaga mpinzani linapokuja suala la viuchaguzi vidogo kama hicho ambacho magwanda ndiyo wameona ni nafasi ya kuonyesha misuli yao.

kiingereza kingi bila hela ni makelele tu
Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?
ahaa rangi murua hii ya chama dume sisi-m hii indhihirisha jinsi chama hili linavyopendwa hata na wapinzani wake maana ndicho kilichowalea na kuwasomesha! hongera mkuu kwa kuitukuza rangi maana maandishi yenye rangi ya magwanda hayatawavutia watu kusoma
Ila Mwita25, kidogo nakusifu wewe sanaaaana kwa usugu na uwezo wako wa kuwa na roho saba kama paka au yule Waziri wa Mawasiliano wa Saddam Hussein wakati wa vita kule Iraq.
Kitendo cha wewe kuona CCM kinaangukia pua Igunga na wazee wote wa Chama kuamua kwenda kifichoni na kumuachia dogo Nape na Kamanda Siro kazi ya Igunga, Muraa kweli wewe mwanaume maana wenzio wote hapa jukwaani tayari wamepuputishwa na tatizo letu lile la kule Wikileaks.
Lakini usijepatwa ugonjwa wa moyo pindi KINACHONUKA ZAIDI ya sakata la suti ya dhahabu na ma-events itakapowekwa hadharani hapo mbeleni kidogo.

Mbona sura zao hazioneshi matumaini? Yaani ni kama watu waliokata tamaa hata kabla ya mchezo. Kuna umuhimu gani kuingiza timu wakati unayetaka kucheza naye ni klabu bingwa milele? Je huku si kujitafutia kilio?

ahaa rangi murua hii ya chama dume sisi-m hii indhihirisha jinsi chama hili linavyopendwa hata na wapinzani wake maana ndicho kilichowalea na kuwasomesha! hongera mkuu kwa kuitukuza rangi maana maandishi yenye rangi ya magwanda hayatawavutia watu kusoma
tunafanya utaratibu wa kuwasiliana na mkulu atupe room number ya mwarabu ili tuwapeleke hawa wakina mama waliopauka ili wapewe angalau magauni.Mbona hao kina mama wamechoka sana CDM ebu jaribuni kuwatafutia Magwanda kama yale wanaovaa kina Halima Mdee! Wamepauka sana
Kuna Jamaa yangu amenipigia simu kapishana na msafara wa fuso za CDM zinasomba watu kutoka Moshi zinaelekea Igunga.
Kwenda kuongeza nguvu

Zinafanana za ile ya mamako uliyemwacha kijijini musoma

Shangazi yangu wa Mbeya kasema ameona mabasi matatu ya Sumry yamebeba wahuni wa Sugu kutoka Mbeya mjini kwenda kuongeza nguvu za Chadema Igunga.
Kempiski ndio nini taja vizuri unadhani Rombo Hotel hiyotunafanya utaratibu wa kuwasiliana na mkulu atupe room number ya mwarabu ili tuwapeleke hawa wakina mama waliopauka ili wapewe angalau magauni.
Si bado mwarabu anagawa nguo pale kempiski
Duh! lakini hii aibu ya kipenzi chetu tuliyemchagua kwa kura halali asilimia 61.17 kupewa nguo na mwarabu inaumaa.Kempiski ndio nini taja vizuri unadhani Rombo Hotel hiyo