ukubwa wa pua si wingi wa makamasi.vijana wanakua wengi kuwaona watu maarufu hasa yule jokeboxer na DJ wa muziki pale clubbilikanasa.mwisho wasiku wapigia CCM.kidumu cha chamapinduzi......kidumu chama tawala
masanduku ya kura ndio yakayoamua sio umati wa watu!
Watu wanafunguka....
Sehemu ya umati ya watu waliojitokeza kuwasikiliza makamanda wa M4C
Viongozi wa CHADEMA wakiingia uwanjani...
Tundu Lisu,
Dr. Slaa akihutubia
Mbowe akihutubia
ugali na mboga zote zipo ccm sasa mta mwaga maviMwaga mboga mwaga ugali ,nani iko shinda bhana?
Hivi unaamini leo hii uchaguzi ukiitishwa mtwara CCM mtaambulia kitu...masanduku ya kura ndio yakayoamua sio umati wa watu!
Watu wanafunguka....
Sehemu ya umati ya watu waliojitokeza kuwasikiliza makamanda wa M4C
Viongozi wa CHADEMA wakiingia uwanjani...
Tundu Lisu,
Dr. Slaa akihutubia
Mbowe akihutubia
masanduku ya kura ndio yakayoamua sio umati wa watu!
Hivi unaamini leo hii uchaguzi ukiitishwa mtwara CCM mtaambulia kitu...
Hili darasa ndio limeleta shida huko Mtwara