Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,306
- 5,058
Asante Kamama Asiyechoka,hayo ndio mambo,sii kila siku kuhangaika na makorokocho tu,kurefresh mara moja moja inapendeza.
Kha!kha!, Polisi wetu wasivyo na akili wanaweza kweli kuiweka ndani hata km haina kosa.huyu anakaribia kuongeza idadi ya pikipiki zilizopo vituo vya polisi
Kamanda upo sawa.Chadema siyo chama bali ni imani inayoishi na kutawala ndani ya wapenda haki wote.
View attachment 1911854