Picha: CCM yapumulia mashine Arumeru Mashariki

Picha: CCM yapumulia mashine Arumeru Mashariki

ngurati

JF-Expert Member
Joined
Feb 14, 2011
Posts
221
Reaction score
240
Katika mikutano ya kampeni za kuwanadi wagombea wa serikali za mitaa, CCM iko na Hali mbaya Arumeru. Imefika hatua wameshindwa kufanya mikutano sasa wanapitia nyumba kwa nyumba wakigawa sukari kuomba kura
 

Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    786.5 KB · Views: 811
  • image.jpg
    image.jpg
    443.3 KB · Views: 1,560
ngurati nakwaambia mafisadi hawana lao huku tunakoelekea! Hakuna kulala mpaka kielewekeeeeeeeeeeeeeeeee!!!!!!!
 
Last edited by a moderator:
futa hapo hao mbwa wezi mafisadi makuwadi
waite jina lolote baya utabarikiwa
 
Back
Top Bottom