Picha bora zaidi zinazopendwa na Wananchi katiak Utawala wake Mheshimiwa Rais.J.K.

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,329
33,139
inasemekana hizi picha zimekuwa zinawagusa watu kuliko picha zozote za Rais Kikwete ambazo alishawahi kupiga wakati wa uongozi wake maana hizi picha zinaguza maisha na matatizao mbalimbali ya watu katika jamii yetu ya kitanzania, Ebu tazama hizo picaha kwa makini sana


Rais akiongea na mlemavu huko mwanza


hapa Rais Kikwete akiongea na bibi huko mkoa wa pwani



Hapa Rais akiongea na mlemavu katika ziara zake


Hapa Rais Kikwete akiongea na mtoto mlemavu huko tanga



Hapa akiongea na mlemavu pia katika ziara zake


Hapa pia akiongea na mlemavu


kama kawaida yake rais akimsikiliza mlemavu


Hapa pia akisalimiana na mlemavu







Saluti Mheshimiwa Rais wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania.
 
Unless uweke effects za mazungumzo hayo!!! Ndio "kugusa maisha" itaeleweka!!!!
Ni vizuri though!!!
 
Santa.... niwekee na ile anajiandaa kufanyiwa naniliu na daktari wa kizungu.

Mkuu weka ile ni picha bora kuliko zote mkulu alizo piga.Inaonyesha alivyo jasiri na kale kaugonjwa so ana tuhamasisha baba yetu na sisi tusiogope!
 
Mkuu Mzizi mkavu pia usisahau na hizi picha ni muhimu sana.
 

Attachments

  • x.JPG
    64.4 KB · Views: 711
  • xx.JPG
    224.9 KB · Views: 688
  • xxx.JPG
    171 KB · Views: 696
  • xxxxxxx.jpg
    132.9 KB · Views: 680
Last edited by a moderator:

Hivi huwa wanaandaliwa kukutana na rais ama huwa wanagongana tu accidentally?

Then what next baada ya mazungumzo na hizo picha maana lazima tu huwa wanamweleza shida zao?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…