Xplorer JF-Expert Member Joined Mar 19, 2015 Posts 607 Reaction score 857 Dec 30, 2015 #1 Picha hii inayoonyesha upepo mkali huko Colorado iliyopigwa na James Smart ndio picha bora kwa mujibu wa National Geographic Je ni nini kinachoifanya picha hii iwe na kiwango hicho? Attachments 1451473830871.jpg 43.5 KB · Views: 250
Picha hii inayoonyesha upepo mkali huko Colorado iliyopigwa na James Smart ndio picha bora kwa mujibu wa National Geographic Je ni nini kinachoifanya picha hii iwe na kiwango hicho?
ndege JOHN JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 25,065 Reaction score 61,398 Dec 30, 2015 #2 Imepigwa vizuri inaeleweka imechukua sehem kubwa sky makazi mpk kwenye surface
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,766 Reaction score 2,076 Dec 30, 2015 #3 Hiyo ni tufani au nini?
MeinKempf JF-Expert Member Joined Jun 11, 2013 Posts 11,092 Reaction score 7,236 Dec 30, 2015 #4 Mkuu hilo ni jini makata la mkondo wa nungwi au ni dubwana gani..?
Lumbi9 JF-Expert Member Joined Oct 12, 2014 Posts 8,794 Reaction score 12,623 Dec 30, 2015 #5 duh kisulisuli hiko
Dragoon JF-Expert Member Joined Nov 24, 2013 Posts 7,012 Reaction score 8,150 Dec 30, 2015 #6 kama imefanyiwa fotoshoping vile..... kwa nini chini vumbi rangi ya kahawia likifika juu linakuwa rangi ya kijivu?
kama imefanyiwa fotoshoping vile..... kwa nini chini vumbi rangi ya kahawia likifika juu linakuwa rangi ya kijivu?
N nyamnini JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 2,734 Reaction score 1,556 Dec 30, 2015 #7 Upepo huu unanikumbusha andiko la kwenye bibllia linalomwelezea mtumishi wa Mungu Nabii Eliya alivyopaa mbinguni kwa upepo kama huu. Unaitwa upepo wa kisulisuli Last edited: Dec 30, 2015
Upepo huu unanikumbusha andiko la kwenye bibllia linalomwelezea mtumishi wa Mungu Nabii Eliya alivyopaa mbinguni kwa upepo kama huu. Unaitwa upepo wa kisulisuli
Mgirik JF-Expert Member Joined Apr 27, 2013 Posts 13,286 Reaction score 13,460 Dec 30, 2015 #8 whee kafura fumbe
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 376,454 Reaction score 872,085 Dec 31, 2015 #9 GlobalChick said: Picha hii inayoonyesha upepo mkali huko Colorado iliyopigwa na James Smart ndio picha bora kwa mujibu wa National Geographic Je ni nini kinachoifanya picha hii iwe na kiwango hicho? Click to expand... 3D without edition
GlobalChick said: Picha hii inayoonyesha upepo mkali huko Colorado iliyopigwa na James Smart ndio picha bora kwa mujibu wa National Geographic Je ni nini kinachoifanya picha hii iwe na kiwango hicho? Click to expand... 3D without edition
42_007 JF-Expert Member Joined Mar 10, 2015 Posts 1,561 Reaction score 825 Dec 31, 2015 #10 Dragoon said: kama imefanyiwa fotoshoping vile..... kwa nini chini vumbi rangi ya kahawia likifika juu linakuwa rangi ya kijivu? Click to expand... Umeshajijibu...
Dragoon said: kama imefanyiwa fotoshoping vile..... kwa nini chini vumbi rangi ya kahawia likifika juu linakuwa rangi ya kijivu? Click to expand... Umeshajijibu...