sawa kamanda, nasis tulipiga hapo kotako, ikule, mguden,kimbi,nakaguru nk vp ulibahatika kufika kijiji cha merera kipo kata ya chita. kamanda jamaa walituelewa sana baada ya kuwakataza kulipa mchango wa mwenge ambao walikuwa wananyanyaswa nao sana, natukawaambia hakuna sheria inayomlazimisha mtu kufanya hvyo ikitokea wamewakamata muwaambie twenden mahakaman, nasis makamanda tutawafuata huko. toka hapo hawajanyanyaswa tena nawalitupigia sm wako huru hawajifich tena. nawakafanya mabadiliko makubwa kwenye uchaguz kwa kutoa ukolon wa magamba. makamanda hutulal mpaka kieleweke.