mkadiriajimajenzi
JF-Expert Member
- Dec 31, 2015
- 549
- 613
Baadhi ya madereva wasio na ustaarabu wameanza kufanya uharibifu wa boom barriers katika vituo vya kukusanyia tozo katika daraja la Kigamboni
View attachment 353617Baadhi ya madereva wasio na ustaarabu wameanza kufanya uharibifu wa boom barriers katika vituo vya kukusanyia tozo katika daraja la kigamboni
Umefanya utafiti ukajua za kichina, tuwe wazalendoZa Kachina hizo, hata zikipigwa jua muda mrefu zinaanguka zenyewe,na unyevunyevu wa bahari Sasa nao ni balaa
Unajua jina la contractor? Kampuni za China huagiza malighafi toka China tu.Umefanya utafiti ukajua za kichina, tuwe wazalendo
Umefanya utafiti ukajua za kichina, tuwe wazalendo
Wacha mawazo ya hivyo. Tuharibu miundombinu yetu Kisa eti imetengenezwa China??Kwanza si za kichina??
Unategemea zikae miaka 20
Aina fulaani ya vizuizi ili kuzuia gari kupita kwa ajili ya ukaguzi au namna nyengine, mfano katika malipo baadhi huwa automatic na vengine man operated.Mkuu ni vitu gani hivyo na kazi yake ni nini? Tafadhali.. kwa faida ya vilaza kama mimi humu.
Huyu aliyevunja anatakiwa kupelekwa pale askari bismini pale Posta. Alafu akachapwa viboko na kuchukuliwa video na kusambazwa YouTube nadhani itasaidia kwa kiwango kikubwa sana. Maana akuna jinsi nyingine maana mwendokasi magari yanaisha kwa ajali. Sasa kabla daraja alijapata majanga wakaweka adhabu hiyoCamera zilizofungwa zinafanya kazi ganiii???