Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,012
- 25,353
Hao chui wa kisasa au.?
Hatari sana
Hao chui wa kisasa au.?
Mkuu punguza ukali wa maneno.Manina ZakeChui/Simba akiamua kurukia ndani ya gari, mbona itakuwa patashika nguo kuchanika! Mchezo na wanyama hatari ni kitu kibaya sana unaweza kubaki na majuto bin mjukuu hata ukadedishwa.
Kwanza hapo si Arusha. Hayo maeneo ni Serengeti npk. Picha ya kwanza ni chui lkn picha ya pili na tatu zote ni za cheetah. Cheetah mara nyingi ni mnyama ambaye hapendi ugomvi na anatabia ya kuamini watu au kitu. Yuko tayari kupanda juu ya gari ili tu apate muono mzuri (good views) hasa anapotaka kuwinda- hii huitwa kitaalam prey selection.cheetah ndie mnyama mwenye kasi kuliko wote duniani,anao uwezo hata wa kuanza kufukuza mnyama kuanzia umbali wa mita mia,anapendelea sehem zenye uwazi(plain area) na hii inatokana na tabia yake ya kukimbia umbali mrefu awapo mawindoni, chakula chake ni jamii ya swala waitwao(gazelles) au swala paa(impala) anayo michilizi mweusi kuzunguka macho yake hii humsaidia sana kukinga miale ya jua kwani tabia yake ni muwindaji wa mchana au kimombo(diurnal) ni jamii ya paka lakini ni mpole sana na ni rahisi kuanzisha urafiki na binadam kama hatabugudhiwa.View attachment 223412
Manina zake Chui/Simba akiamua kurukia ndani ya gari, mbona itakuwa patashika nguo kuchanika! Mchezo na wanyama hatari ni kitu kibaya sana unaweza kubaki na majuto bin mjukuu hata ukadedishwa.
Kwanza hapo si Arusha. Hayo maeneo ni Serengeti npk. Picha ya kwanza ni chui lkn picha ya pili na tatu zote ni za cheetah. Cheetah mara nyingi ni mnyama ambaye hapendi ugomvi na anatabia ya kuamini watu au kitu. Yuko tayari kupanda juu ya gari ili tu apate muono mzuri (good views) hasa anapotaka kuwinda- hii huitwa kitaalam prey selection.cheetah ndie mnyama mwenye kasi kuliko wote duniani,anao uwezo hata wa kuanza kufukuza mnyama kuanzia umbali wa mita mia,anapendelea sehem zenye uwazi(plain area) na hii inatokana na tabia yake ya kukimbia umbali mrefu awapo mawindoni, chakula chake ni jamii ya swala waitwao(gazelles) au swala paa(impala) anayo michilizi mweusi kuzunguka macho yake hii humsaidia sana kukinga miale ya jua kwani tabia yake ni muwindaji wa mchana au kimombo(diurnal) ni jamii ya paka lakini ni mpole sana na ni rahisi kuanzisha urafiki na binadam kama hatabugudhiwa.View attachment 223412
Kwanza hapo si Arusha. Hayo maeneo ni Serengeti npk. Picha ya kwanza ni chui lkn picha ya pili na tatu zote ni za cheetah. Cheetah mara nyingi ni mnyama ambaye hapendi ugomvi na anatabia ya kuamini watu au kitu. Yuko tayari kupanda juu ya gari ili tu apate muono mzuri (good views) hasa anapotaka kuwinda- hii huitwa kitaalam prey selection.cheetah ndie mnyama mwenye kasi kuliko wote duniani,anao uwezo hata wa kuanza kufukuza mnyama kuanzia umbali wa mita mia,anapendelea sehem zenye uwazi(plain area) na hii inatokana na tabia yake ya kukimbia umbali mrefu awapo mawindoni, chakula chake ni jamii ya swala waitwao(gazelles) au swala paa(impala) anayo michilizi mweusi kuzunguka macho yake hii humsaidia sana kukinga miale ya jua kwani tabia yake ni muwindaji wa mchana au kimombo(diurnal) ni jamii ya paka lakini ni mpole sana na ni rahisi kuanzisha urafiki na binadam kama hatabugudhiwa.View attachment 223412
@kachel
asante kwa ufafanuzi murua kabisa
mi napenda sana history za wanyama japo sijawahi kuwaona live
Upo sawa, chui ana asiri ya ukorofi sana, tofauti jamaa ya cats wengine. Wakati mwingine simba pia hua hana shida na binadamu kama ukiwa still (no suden movement)..