wengine tunatumia daladala, hatujawahi paona, maaana tunasimama kila siku, we mwenzangu watumia private nini?Sie tunaopita kila siku tunajionea kawaida tu
Sie tunaopita kila siku tunajionea kawaida tu
wengine tunatumia daladala, hatujawahi paona, maaana tunasimama kila siku, we mwenzangu watumia private nini?
...mbona hakuna la ajabu
hapo ni barabaran hats manzese pako hivyo ,toka hatua moja ingia ndan i
hapo kaingia mjini sasa na techno mpya binamu
laiti kama hizi picha zingekua zimepigwa kutoka nchi jirani ,mngezipa sifa zote
lakini kwakua zinatoka tanzania hazina thaman yeyote , hawa ndio watanzania wetu
haijalishi kitu n kizuri namna gani au kina ubora gani as long as kimetoka tanzania lazima mtanzania akizungumzie kwa mabaya .
Mbona unadharau hivyo.....
Sie tunaopita kila siku tunajionea kawaida tu
1. Daraja la Jangwani halijajengwa kukidhi mafuriko....mvua zitakapoanza nyesha kuvuka pale itakuwa shiiidaaaah
2. Vibao vilivyowekwa vinachanganya na hata mitaaa imebadilishwa majina mfano mtaa wa swahili....mazengo...ect