Madhara ya gongo haya.Huyu Mkuu wa POLISI Kapanda CHEO KIPOLISI au KIDINI ?
Kwasababu tumeanza tabia za kupokezana VYEO kama vile DINI ndio ELIMU inayotufaa kutupatia HIZO AJIRA FINYU...
Wewe akili zako ni fungi sana, we unadhani wanateliwa toka wapi?Huyu Mkuu wa POLISI Kapanda CHEO KIPOLISI au KIDINI ?
Kwasababu tumeanza tabia za kupokezana VYEO kama vile DINI ndio ELIMU inayotufaa kutupatia HIZO AJIRA FINYU...
Wewe akili zako ni fungi sana, we unadhani wanateliwa toka wapi?
Huyo Naibu IGP Hakika amepanda cheo sababu ya Dini yake na si sababu ya utendaji kazi wake.
Namchukia mtu anaye teua mtu kwa kufuata Dini yake au anaye angalia mlingano wa Dini
huyo ni mdini tu vyovyote itakavyokuwa. Hicho cheo kimeundwa sababu ya udini tu,JK ilimuuma sana kumteua mkristu
hadi kuamua kuanzisha cheo kipya. Kwa kweli huyu baba tunatamani tu 2015 ifike mapema aondoke zake na udini wake.
Kama kweli Ungekuwa Unafuatilia VYEO... Wenye VYEO vinavyotakiwa kuwa WAKUU wa POLISI hawakuchaguliwa UNAJUA HIYO????
Hawa wawili wamebebeshwa au kurushwa VYEO ili kushika hayo MADARAKA; Lakini SIDHANI JESHINI wangeweza kufanya MCHEZO HUO
Kama kweli Unaipenda NCHI yake -- fuatilia Masuala yake ki-undani basi? kuliko kubeba ya juu juu kama CREAM na hivyo kupotoshwa na kuanza kufyatuka na kusambaza habari zisizo na ukweli...
BE REAL; BE EDUCATIVE... Hakikisha Unajua what's going on in your country... HAPO TUTAKUWA na PEACE & HARMONY...

kwa uelewa wangu hayo mavazi ya blue ni ceremonial dress ya jeshi la polisi!Ufafanuzi tafadhali. Ni kwa nini hawa polisi wapo kwenye magwanda ya rangi ya bluu tofauti na rangi ya polisi tuliyozoea. Mbona wote wamevaa gloves tena nyeupe na wanashikana mkono na rais wakiwa na hizo gloves na pia wamebeba majambia viunoni mwao. Je kuna maana yoyote ktk yote hayo. Naomba kuelimishwa
Huyo Naibu IGP Hakika amepanda cheo sababu ya Dini yake na si sababu ya utendaji kazi wake.
Namchukia mtu anaye teua mtu kwa kufuata Dini yake au anaye angalia mlingano wa Dini
huyo ni mdini tu vyovyote itakavyokuwa. Hicho cheo kimeundwa sababu ya udini tu,JK ilimuuma sana kumteua mkristu
hadi kuamua kuanzisha cheo kipya. Kwa kweli huyu baba tunatamani tu 2015 ifike mapema aondoke zake na udini wake.
Kama kweli Ungekuwa Unafuatilia VYEO... Wenye VYEO vinavyotakiwa kuwa WAKUU wa POLISI hawakuchaguliwa UNAJUA HIYO????
Hawa wawili wamebebeshwa au kurushwa VYEO ili kushika hayo MADARAKA; Lakini SIDHANI JESHINI wangeweza kufanya MCHEZO HUO
Kama kweli Unaipenda NCHI yake -- fuatilia Masuala yake ki-undani basi? kuliko kubeba ya juu juu kama CREAM na hivyo kupotoshwa na kuanza kufyatuka na kusambaza habari zisizo na ukweli...
BE REAL; BE EDUCATIVE... Hakikisha Unajua what's going on in your country... HAPO TUTAKUWA na PEACE & HARMONY...
Wewe ndiye Mdini unayeangalia Uteuzi wa Rais katika mtazamo wa Dini badala ya uwezo wa mtu kuongoza.
Badilika kwani utaangamiza Tanganyika kwa Udini.