Acha imani za kichawi chawi mkuu nina miaka 17 napita njia hiyo huo ni uongoMsitokwe na mapovu. Kwa waliowahi kuendesha gari barabara ya moro iringa watakubaliana na mimi kuwa kipindi cha mvua maeneo hayo ya mindu huwa na mvua za ajabu kubwa sana na ukivuka unakuta hakuna mvua. Pia maeneo hayo juzi kati nilipita kuna matengenezo ya bara bara na inaonekana lami iliyowekwa inateleza sana na kuna kona kama mbili hivi, hivyo kama kulikuwa na mvua+speed=utelezi=ajari. Kosa la dereva ni speed
Mbona umehamaki kiongozi.mpumbavu wewe...wanyakysa wanahusika na nini katika ajali hiyo?
Sijaongelea uchawi, jiografia ya eneo la mindu lina miti mingi ambayo hupelekea mvua kubwa kunyesha.Ac
Acha imani za kichawi chawi mkuu nina miaka 17 napita njia hiyo huo ni uongo
hahahaa mhubiri wa dot com.siku hizi anakuombea huku anakuimbia na wimbo wa darasa ule wa weka mziki bla bla staki kusikia
labda ni kabila lake.Mbona umehamaki kiongozi.
Umesema vema hili tatizo linajulikana sana.. Watu wanaosimamia barabara Morogoro wamejisau.. Kazi ya ukarabati haifanyiki ipasavyo..Msitokwe na mapovu. Kwa waliowahi kuendesha gari barabara ya moro iringa watakubaliana na mimi kuwa kipindi cha mvua maeneo hayo ya mindu huwa na mvua za ajabu kubwa sana na ukivuka unakuta hakuna mvua. Pia maeneo hayo juzi kati nilipita kuna matengenezo ya bara bara na inaonekana lami iliyowekwa inateleza sana na kuna kona kama mbili hivi, hivyo kama kulikuwa na mvua+speed=utelezi=ajari. Kosa la dereva ni speed
Miti ipi pale mkuu ni kichaka kile tu na hakuna kona pale kuna matuta 2 moja ni kwenye pale wanapouza visamaki na wanakaaga traficSijaongelea uchawi, jiografia ya eneo la mindu lina miti mingi ambayo hupelekea mvua kubwa kunyesha.
Alikuwa speed gani?Msitokwe na mapovu. Kwa waliowahi kuendesha gari barabara ya moro iringa watakubaliana na mimi kuwa kipindi cha mvua maeneo hayo ya mindu huwa na mvua za ajabu kubwa sana na ukivuka unakuta hakuna mvua. Pia maeneo hayo juzi kati nilipita kuna matengenezo ya bara bara na inaonekana lami iliyowekwa inateleza sana na kuna kona kama mbili hivi, hivyo kama kulikuwa na mvua+speed=utelezi=ajari. Kosa la dereva ni speed
Hivi wewe unakijua unacho kiandikawanyakyusa acheni uchawi