Hao akina mama wa CCM hawana maana kama mabwana zao. UWT inaweza kusomeka kama Umoja wa Wahuni Tanzania. Maana mambo waliyofanya hadharani hayafai kufanywa na chama kikongwe. Hata hivyo UWT ni nini zaidi ya kuwa kikwazo cha kujitambua akina mama wakakalia kugombania upuuzi kama uenyekiti badala ya urais?